Field Marshall 11
JF-Expert Member
- Nov 28, 2024
- 1,018
- 1,717
Form Four ( IV) Failures ni wagumu kuelewa, hao ni watekaji na wauaji wakubwa. Ni aibu sana kwa nchi yetu kuendeshwa kipolisi.Kanisa Katoliki jimbo kuu la Mwanza limezungumzia taarifa ya kupatikana Padre Nikata iliyotolewa na jeshi la polisi mkoa wa Ruvuma, Msikilize Mhashamu Renatus Nkwande.
Mhashamu Renatus Nkwande amesema kama Padri huyo alitaka kuacha Upadri yeye askofu alipaswa kujua na wala si mwingine amebainisha kuwa askofu wa Jimbo la Songea pia hajua kama padri huyo alitaka kuacha upadri.
"Eti watu wanasema alishaaomba hakusikilizwa mapadri ivi ukitaka kuacha upadri unasikilizwa? si unaondoka zako tunaowangapi ambao wameacha huko wameondoka, walisikilizwa? badala ya kupata maneno yakutia moyo tusikate tamaa tunapewa maneno ya maudhi" Mhashamu Renatus Nkwande.
Pia Soma:
Padri Nikata alijiteka baada ya kukataliwa na demu aliyemsomesha!Kwahyo wakiwa na mademu ndio wanastahili hayo ?
Kwani uongo?!Mtoto koma
Hawa maaskofu na mapadre wanna mademu kibao na tunaishi nao humu mtaani...wajiangalie wao kwanza kabla ya kuwanyooshea vidole wengine
Kwa logic ya kawaida unaona hicho kitu kinawezekana kwa mtu kama father Nikata lecturer wa SAUT.Padri Nikata alijiteka baada ya kukataliwa na demu aliyemsomesha!
Hao mapadri wanakataliwa kila siku na hawaachi upadri. Acheni hizo nyie wahuni.Padri Nikata alijiteka baada ya kukataliwa na demu aliyemsomesha!
Hivi huwa mnamaanisha nini kusema form 4 failures??..nijuavyo kiserikali hauwezi kuajiriwa kama umefeli..na kufeli ni kupata div zero..kwa maana point 34 na 35.Form Four ( IV) Failures ni wagumu kuelewa, hao ni watekaji na wauaji wakubwa. Ni aibu sana kwa nchi yetu kuendeshwa kipolisi.
Huku mtaani ..!!yaani ni aibu kwa Catholic..hata ukimuuliza mtu yeyote atakuambia na kukutajia watoto wa mapadre ..Acha uongo. Unaishi nao wangapi?
We kabiliananao hili ni jukwaa huru wakiweka UGOKO WEKA CHUMAYaani jamii forum imejaa vibaraka wa CCM, wanabaki kushadadia taarifa kinzani kutoka serikalini. Kuna muda nakosa hata hamu ya kuingia jamii forum, maana wamejaa policcm, machawa…wanaharibu nyuzi tu… Moderator
Ukiacha U-CCM kichwani mwako ,ukaweka ELIMU yako mbele .Utaelewa kuwa Fr.Nikata amesingiziwa yote. Hakuna ukweli Kwa loloteNilichoelewa
Nilichoelewa ni kwamba mambo yote ambayo polisi wameyasema kuhusu huyo padri Nikata kama vile kumsomesha mpenzi wake ambaye baadae amemkataa , pamoja na kuwa na madeni ni kweli na ambacho sio kweli kwa mtazamo wa askofu ni mpango wa padri nikata kutaka kuacha upadri kwahiyo mengine yote ni kweli.
Lakini swali linabaki kwamba ikiwa hakuwa na mpango wa kuacha upadri huyo msichana alikuwa akimsonesha kwa malengo gani na mapadri hawaruhusiwi kuoa?!
Kwanza mimi sio CCM na mara ya mwisho kuwa mwanachama wa chama cha siasa hapa TZ ni miaka 22 iliyopita!.Ukiacha U-CCM kichwani mwako ,ukaweka ELIMU yako mbele .Utaelewa kuwa Fr.Nikata amesingiziwa yote. Hakuna ukweli Kwa lolote
Kwani huyo kamanda wa polisi aliyetoa taarifa hiyo si mkristo mwenzenu?Hao mapadri wanakataliwa kila siku na hawaachi upadri. Acheni hizo nyie wahuni.
Mnaanza kutengeneza vita ya kidini.
Kanisa Katoliki linabidi wawahimize wakatoliki wenzao duniani kote kuanza na Papa, wakristo wengine, Waislamu na dini zote kukemea huu uhuni unaondelea Tanzania.Kanisa Katoliki nchini linatakiwa lichukue tahadhari mapema. Maaskofu wakae na Mapadre wao na kuwaeleza ukweli waache kuishi kwa mazoea! Maana kwa namna moja au nyingine wanachangia kuharibu taswira ya Kanisa.
Na huu msimamo wao wa kumea maovu hadharani, wasifikiri unafurahiwa na hao watendaji wa hayo maovu! Na hasa policcm. Hawa viumbe wakilipata tukio linalowahusu Mapadre wa Katoliki, wamekuwa wakiliongelea kwa dharau na kejeli ya hali ya juu sana.
Tafadhari! Chukueni tahadhari ili msiwape hawa form four failures nafasi ya kuwabagaza.
Ikifika kwa papa, basi ngoma itakuwa ngumu, maana ana influence kubwa sana kwenye taasisi na mashirika ya kimataifa…ICC will take this very seriousKanisa Katoliki linabidi wawahimize wakatoliki wenzao duniani kote kuanza na Papa, wakristo wengine, Waislamu na dini zote kukemea huu uhuni unaondelea Tanzania.
Kazi ya kanisa, dini ni kupigania na kuhubiri haki na kukemea matendo maovu, ya uonevu na dhuluma.
Ndivyo inavyotakiwa viongozi wa majimbo, dayosisi, makanisa wamwandikie Papa kuhusu hali inayoendelea Tanzania na hofu juu ya usalama wa maisha yao binafsi, waumini wao na Watanzania wote kwa ujumla.Ikifika kwa papa, basi ngoma itakuwa ngumu, maana ana influence kubwa sana kwenye taasisi na mashirika ya kimataifa…ICC will take this very serious
Nadhani wewe bado hujakutana na changamoto ya mapenzi!Kwa logic ya kawaida unaona hicho kitu kinawezekana kwa mtu kama father Nikata lecturer wa SAUT.
Huyu padri aliyetekwa siku moja alimkemea mstaafu mmoja hiviKanisa Katoliki jimbo kuu la Mwanza limezungumzia taarifa ya kupatikana Padre Nikata iliyotolewa na jeshi la polisi mkoa wa Ruvuma, Msikilize Mhashamu Renatus Nkwande.
Mhashamu Renatus Nkwande amesema kama Padri huyo alitaka kuacha Upadri yeye askofu alipaswa kujua na wala si mwingine amebainisha kuwa askofu wa Jimbo la Songea pia hajua kama padri huyo alitaka kuacha upadri.
"Eti watu wanasema alishaaomba hakusikilizwa mapadri ivi ukitaka kuacha upadri unasikilizwa? si unaondoka zako tunaowangapi ambao wameacha huko wameondoka, walisikilizwa? badala ya kupata maneno yakutia moyo tusikate tamaa tunapewa maneno ya maudhi" Mhashamu Renatus Nkwande.
Pia Soma: