Kauli ya Rage kwa wanasimba ilikuwa sahihi?

Mimi naomba kuhitimisha kwa kusema hivi ile kauli ya Rage kwa wanachama na mashabiki, ni sahihi kwa 💯%

Hebu fikiria Mangungu alimtumia nauli Caesar Manzoki atoke China ili kuja kuwasalimia tu wanachama salamu ya hamjambo! kwenye ule uchaguzi wao!

Baada tu ya ile salam, Wanachama wakafurahishwa sana na kuamua kumpa Mangungu kura za kishindo! Halafu leo wanalia tena eti hawamtaki Mangungu!! Kama siyo kuchoshana ni nini huku!! 😁
 
Hahahahahaha
 
Sahihi ni kauli ya Manara 'Yanga wenye akili ni wawili tu" Bahati mbaya kwa hao wawili wewe haumo. Luck Eymael "Yanga wanabweka kama manyani" Kwenye hii kauli ya Eymael mleta mada humo.
 
Huyu kiongozi anatisha sana
 
Nauli ya china unaweza Kuta ni pesa ndefu tu[emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Sahihi ni kauli ya Manara 'Yanga wenye akili ni wawili tu" Bahati mbaya kwa hao wawili wewe haumo. Luck Eymael "Yanga wanabweka kama manyani" Kwenye hii kauli ya Eymael mleta mada humo.
Mkuu unachukuliaje swala la Simba kuandamana hawamtaki refa

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Mbumbumbu fc ni kama mitoto ya mwisho yani kuzira haijambo kuna kipindi ilitishia kwenda Zambia na Kuna kipindi pia ilitaka kwenda kucheza ligi ya Kenya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…