ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,040
- 7,303
Mkuu kwa hiyo unasemaje?
"Tulipoingia madarakani mwaka 2005 tulifanya mambo mawili muhimu kuhusu mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu. Kwanza uamuzi kwamba, mikopo itolewe kwa wanafunzi wa vyuo vikuu vya umma na vile visivyokuwa vya serikali. Kabla ya hapo ilihusu vyuo vya umma pekee. Pili kwamba, kila mwaka tuongeze fedha zinazotengwa kwa ajili ya Mfuko huo ili idadi ya wanafunzi wanaonufaika iongezeke. Tulikuta Mfuko ukiwa na shillingi billioni 56.1 unanufaisha wanafunzi 16,345 mwaka 2005. Tukaongeza kila mwaka na katika mwaka huu wa fedha (2012/13) tumetenga shillingi bilioni 345 zinazowanufaisha wanafunzi 98,772."
Mmeshamnunua Mch. Mtikila kesho magomeni atatoa tamko... ( safi sana kamwe CDM forever, 20% Tanzania nziama ndio wanaosoma magazet na TV )
"Tulipoingia madarakani mwaka 2005 tulifanya mambo mawili muhimu kuhusu mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu. Kwanza uamuzi kwamba, mikopo itolewe kwa wanafunzi wa vyuo vikuu vya umma na vile visivyokuwa vya serikali. Kabla ya hapo ilihusu vyuo vya umma pekee. Pili kwamba, kila mwaka tuongeze fedha zinazotengwa kwa ajili ya Mfuko huo ili idadi ya wanafunzi wanaonufaika iongezeke. Tulikuta Mfuko ukiwa na shillingi billioni 56.1 unanufaisha wanafunzi 16,345 mwaka 2005. Tukaongeza kila mwaka na katika mwaka huu wa fedha (2012/13) tumetenga shillingi bilioni 345 zinazowanufaisha wanafunzi 98,772."
Mkuu kuna maana yoyote kama hayo maneno yanawakilishwa vilivyo na hali elimu inazidi kushuka viwango?
Hii kauli ya JK inanifanya nimalumu sana, kwa sababu kwa kufanikisha haya CCM wameingilia katika sekta ya elimu na kui handle kisiasa zaidi. Kuna rafiki yangu tuliongea naye hapa karibuni, katika kujadili ilikuwa wazi kuwa Vyuo sasa hivi (hata chuo mama cha UDSM).
Mfano sasa hivi program requirements katika faculties tofauti zimeshuka sana, kuna zingine bila 4/4.5 ulikuwa huwezi kabisa kuwa enrolled but kwa sasa the same faculties (tegemeana na kozi) zinachukua hadi 2.5/3 ili tu serkali ya CCM ionekane imefanikiwa katika kuongeza idadi ya waliyokuwa enrolled...
Mkuu huoni kuwa hii kauli ya JK ni tatizo kubwa sana?
Sasa kwanini PRINCE RIZ1 Bado ana DENI CHUONI??? na alifanya kazi kwa LAU MASHA's LAW FIRM sasa ana LAW FIRM yake... Yeye halipi kama NANI???
"Tulipoingia madarakani mwaka 2005 tulifanya mambo mawili muhimu kuhusu mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu. Kwanza uamuzi kwamba, mikopo itolewe kwa wanafunzi wa vyuo vikuu vya umma na vile visivyokuwa vya serikali. Kabla ya hapo ilihusu vyuo vya umma pekee. Pili kwamba, kila mwaka tuongeze fedha zinazotengwa kwa ajili ya Mfuko huo ili idadi ya wanafunzi wanaonufaika iongezeke. Tulikuta Mfuko ukiwa na shillingi billioni 56.1 unanufaisha wanafunzi 16,345 mwaka 2005. Tukaongeza kila mwaka na katika mwaka huu wa fedha (2012/13) tumetenga shillingi bilioni 345 zinazowanufaisha wanafunzi 98,772."
Mkuu kuna maana yoyote kama hayo maneno yanawakilishwa vilivyo na hali elimu inazidi kushuka viwango?
Hii kauli ya JK inanifanya nimalumu sana, kwa sababu kwa kufanikisha haya CCM wameingilia katika sekta ya elimu na kui handle kisiasa zaidi. Kuna rafiki yangu tuliongea naye hapa karibuni, katika kujadili ilikuwa wazi kuwa Vyuo sasa hivi (hata chuo mama cha UDSM) vimeshuka sana viwango vya elimu.
Mfano sasa hivi program requirements katika faculties tofauti zimeshuka sana, kuna zingine bila 4/4.5 ulikuwa huwezi kabisa kuwa enrolled but kwa sasa the same faculties (tegemeana na kozi) zinachukua hadi 2.5/3 ili tu serkali ya CCM ionekane imefanikiwa katika kuongeza idadi ya waliyokuwa enrolled...
Mkuu huoni kuwa hii kauli ya JK ni tatizo kubwa sana?
Ndio maana nasema wafuasi wa chadema mna matatizo. Mnaleta "ukamanda' kwenye kila kitu!!!
Mkuu Baada ya Kuona issue ya Lwakatare inawaendea Kombo naona mmeamua kutokea kwa style hii.
Mtatapatapa sana ila mwisho tutaweka ndani ya Jeneza tu
Hayo maboresho ya mfumo wa elimu ni vema yaendane na ubora wa elimu inayotolewa, vinginevyo hizo hela zitatumika kwa mambo mengine maana idadi ya wanafunzi wanaefeli inaongezeka. Mfano, matokeo yaliyopita, wanafunzi wenye sifa za kuendelea na kidato cha 5, hawafiki hata 30,000!
"Tulipoingia madarakani mwaka 2005 tulifanya mambo mawili muhimu kuhusu mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu. Kwanza uamuzi kwamba, mikopo itolewe kwa wanafunzi wa vyuo vikuu vya umma na vile visivyokuwa vya serikali. Kabla ya hapo ilihusu vyuo vya umma pekee. Pili kwamba, kila mwaka tuongeze fedha zinazotengwa kwa ajili ya Mfuko huo ili idadi ya wanafunzi wanaonufaika iongezeke. Tulikuta Mfuko ukiwa na shillingi billioni 56.1 unanufaisha wanafunzi 16,345 mwaka 2005. Tukaongeza kila mwaka na katika mwaka huu wa fedha (2012/13) tumetenga shillingi bilioni 345 zinazowanufaisha wanafunzi 98,772."
Mwaka 2015 kutakuwa na wanafunzi wasiozidi 18,000 watakaokuwa wana sifa ya kujiunga na vyuo vikuu.
Wanafunzi hao wanaweza kuchukuliwa na vyuo viwili tu, UDOM na SUA. Vyuo vingine vitakuwa havina wanafunzi wa mwaka wa kwanza mwaka 2015.
Na hayo ndio maendeleo.
Hatupendi Kauli za Ki Laghai za Mkwe.re, kama hiyo kwako ni Tafsiri kuwa CDM kutuitakii Mema nchi, Basi tuko Tayari Kubeba hiyo DhambiChadema hampendi kusikia habari za maendeleo kwa sababu hamuitakii mema nchi yetu...
Unajua nyinyi chadema ni watu wa ajabu sana. Wanafunzi wakifeli, solution mnayotoa ni maandamano. Mijadala ya elimu ikianzishwa mnaiharibu kama jinsi unavyofanya hapa. Sasa ulichoandika na thread hii vina uhusiano gani?
Watu werevu wameshawashtukia kuwa chadema hamna malengo mema na nchi yetu. Ndio maana mnachukizwa na mijadala ya maendeleo...