Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 13,336
- 12,370
Hata wale wenye maduka wanao weka bidhaa na vitu nje ya maduka yao hadi kuzuia biashara za maduka mengine wapigwe marufukuyes wamachinga kuzagaa-zagaa hovyo ni hisani tu ambayo sasa inafika kikomo.
Nini hakiendi?Mkuu mimi sikubaliani na dikteta lakini maza amepwaya sn
Wewe unaona nini kinaenda?Nini hakiendi?
Wanasema tumepanda chati ya furaha, tunawakaribia Finland. Kama kweli basi bora mlenda kuliko nyama zile.mama mlenda
Sijaona kisichoenda, ndio maana nikauliza upande uliokaa wewe. Labda mwenzangu uko siti za nyuma.Wewe unaona nini kinaenda?
Ndio ivo mkuu naona mama simuelewi kabisa..Kuna shida mkuu?
Hizo kazi wewe unaziona ni za maana? Yaani akalime nini? migomba? akavue nini? Nzi? Usiwaone wote wanaokimbilia mijini kama wajinga!Idea ya Jiwe ya vitambulisho vya machinga ni bomu lililokuwa linasubiri kulipuka.Sio kwa utararibu huo,watu wanaacha kazi za maana kama kilimo,uvuvi,ufugaji n.k huko vijijini kwao,wanakuja kuwa machinga ,kuuza bidhaa toka China.Huko vijijini wameachwa wazee ndio wanaendeleza kilimo.Nguvu kazi yote inazurura mjini.Ilikuwa ni suala la muda uchumi unaotegemea kilimo kwa asilimia zaidi ya 70 ,ungeanguka!
Jiwe alitakiwa kutoa ruzuku kwa wakulima vijijini ,hata kwa kupunguza bei ya mbolea,mbegu na pembjeo kwa ujumla wake.ili kuwavuta kufanya kazi zenye tija huko vijijini badala ya kuzurura kutwa-kuchwa na biashara ambazo hazieleweki!
Wanakimbia sababu hawakuwekewa mazingira rafiki ya kuishi huko.Watoe ruzuku kwa wakulima kama watakimbilia mijini!Hizo kazi wewe unaziona ni za maana? Yaani akalime nini? migomba? akavue nini? Nzi? Usiwaone wote wanaokimbilia mijini kama wajinga!
Unajidanganya sana Mkuu, wako nachinga wana kipato kikubwa kushinda watu wa ofisini wenye mshahara wa 2m , jambo usilo lijua likalie kimyaWanaoibeba serikali ni Walipa kodi.
Machinga wanapigania mlo wa siku tu.
Jiran yako anauza magodoro?Hata wale wenye maduka wanao weka bidhaa na vitu nje ya maduka yao hadi kuzuia biashara za maduka mengine wapigwe marufuku
Matajir wa JF bana,, afu waeza kuta MTU kama huyu bado anaishi nyumbani kwa wazazi au kwa shemeji.Idea ya Jiwe ya vitambulisho vya machinga ni bomu lililokuwa linasubiri kulipuka.Sio kwa utararibu huo,watu wanaacha kazi za maana kama kilimo,uvuvi,ufugaji n.k huko vijijini kwao,wanakuja kuwa machinga ,kuuza bidhaa toka China.Huko vijijini wameachwa wazee ndio wanaendeleza kilimo.Nguvu kazi yote inazurura mjini.Ilikuwa ni suala la muda uchumi unaotegemea kilimo kwa asilimia zaidi ya 70 ,ungeanguka!
Jiwe alitakiwa kutoa ruzuku kwa wakulima vijijini ,hata kwa kupunguza bei ya mbolea,mbegu na pembjeo kwa ujumla wake.ili kuwavuta kufanya kazi zenye tija huko vijijini badala ya kuzurura kutwa-kuchwa na biashara ambazo hazieleweki!
Basi hao ni wakwepa kodi wakubwa. Walipe kodi stahikiUnajidanganya sana Mkuu, wako nachinga wana kipato kikubwa kushinda watu wa ofisini wenye mshahara wa 2m , jambo usilo lijua likalie kimya
Kwani wewe kazi yako ina umuhimu gani kwa wengine. Hata wewe unazagaa-zagaa!yes wamachinga kuzagaa-zagaa hovyo ni hisani tu ambayo sasa inafika kikomo.
Wanalipa 20,000 ,zinakusanywa nyingi nyingi zinakulipa weweBasi hao ni wakwepa kodi wakubwa. Walipe kodi stahiki