Wadau habari za mchana huu.,
Nimeona nije na hii kauli ya Mama Samia Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kwamba "Ukinizingua nitakuzingua" na kile kilichotokea hivi karibuni je mama alikuwa anamaanisha ile kauli yake., nakumbuka siku aliposema pale bungeni ukumbi wa bunge walicheka saana sana na kuona kama ni katika maneno ya rais ya kufurahisha furahisha au wengine waliita mipasho.,
Lakini upande mwengine pia naona kama kimya kimetawala simsikii pole pole wala Gwajima kwa lolote juu ya kumsema sema rais.
Ivi kujiuzulu kwa aliyekuwa Spika wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugai Job na mazingira yake yaliyopelekea kujiuzulu imeleta heshima kubwa kwa Mama? na kwamba na ile kauli yake kwamba "Asichukuliwe kutokana na Jinsi yake"
Hivi kumbe mama hukumaanisha kile anachokiongelea siku zote?
Natanguliza shukurani zangu kwenye watu wa ukumbi huu.