Coach Slamah Hamad
JF-Expert Member
- Nov 12, 2014
- 3,740
- 4,938
Bado hujamaliza kusema! Kabla ya kuteuliwa na Jiwe kuwa RC, eti alikuwa Assistant Lecturer kwenye chuo kimoja kikuu pale Iringa mjini! [emoji16]
Enzi hizo alikuwa ni mrugaruga tu anayeimba nyimbo za kabila lake la Kihehe na kupigwa kwenye redio yao maarufu hapo Iringa ya Ebony Fm!! Halafu leo hii eti anapewa mamlaka ya kuwa RC wa Jiji la wajanja kama Dar!! [emoji16]
Ujanja wa watu wa Jiji la dar ni kufungulia chemba za Choo mvua zikinyesha?
Au ujanja wao ni kupita madirishani kwenye daladala hata Kama halijajaa na mlango uko wazi?
Au ujanja wao ni kuokota makopo matupu ya maji na juice Kama ajira rasmi kwao?