Coach Slamah Hamad
JF-Expert Member
- Nov 12, 2014
- 3,740
- 4,938
Bado hujamaliza kusema! Kabla ya kuteuliwa na Jiwe kuwa RC, eti alikuwa Assistant Lecturer kwenye chuo kimoja kikuu pale Iringa mjini! [emoji16]
Enzi hizo alikuwa ni mrugaruga tu anayeimba nyimbo za kabila lake la Kihehe na kupigwa kwenye redio yao maarufu hapo Iringa ya Ebony Fm!! Halafu leo hii eti anapewa mamlaka ya kuwa RC wa Jiji la wajanja kama Dar!! [emoji16]
Hekima 0Lilikuwa kosa kubwa mno kumrudisha mamlakani huyu mtu.
Bila shaka na wewe utakuwa ndiyo wale wale.Ujanja wa watu wa Jiji la dar ni kufungulia chemba za Choo mvua zikinyesha?
Au ujanja wao ni kupita madirishani kwenye daladala hata Kama halijajaa na mlango uko wazi?
Au ujanja wao ni kuokota makopo matupu ya maji na juice Kama ajira rasmi kwao?
Bila shaka na wewe utakuwa ndiyo wale wale.
Hiyu madako huwa anaropoka tuAkiongea wakati wa kukabidhi magari manne ya wagonjwa kwenye hafla iliyofanyika Hospitali ya Rufaa ya Amana wakati wa hafla ya kukabidhi Chalamila amesema "Hii sekata ina Umungu ndani yake, leo nikifa mikononi mwa Polisi watu watasema Polisi wameuwa, lakini Hospitali wanasema ni mipango ya Mungu"
Chalamila amesema kutokana na umuhimu wa sekta ya afya kuwa ya kipekee mtu hata akifa Hospitalini ndugu sio rahisi kwenda mahakamani kulalamika tofauti na mtu anaefia mikononi mwa Jeshi la Polisi watu uenda Mahakamani.
Lilikuwa kosa kubwa mno kumrudisha mamlakani huyu mtu.
Ndiyo huko huko karibu na Kijiji cha Kolomije anakotokea Askofu Gwajima, na mdogo wake Daudi Bashite.Wale wale wapi?
Mimi niko huku Misungwi Jiwe kuu.
Ndiyo huko huko karibu na Kijiji cha Kolomije anakotokea Askofu Gwajima, na mdogo wake Daudi Bashite.