Kauli ya Simba ya ‘Tunajenga Timu’ lengo ni kuwapumbaza wasiojielewa

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
20,925
Reaction score
51,688
Timu iko nafasi ya 5 sijui ya 6 kwa orodha za CAF, Orodha za dunia haikosi ya 100 bora

Kuna vitimu havijulikani hata CAF na hata ukilazimisha Rank zitaangukia 1000+

Ila ukisikia tambo zao mwezi mmoja kabla ya mechi unaogipa na unaweza kupata stroke.

Simba wao kimyaaa wanadai wanajenga timu.

Majenga timuuuuu uongo tu
 
Timu iko nasafi ya 5 sijui ya 6 kwa rank za Caf,rank za dunia haikosi ya 100 bora

Kuna vitimu havijulijani hata CAF ba hata ukilazimisha Rank zitaangukia 1000+

Ila ukisikia tambo zao mwezi mmoja kabla ya mechi unaogipa na unaweza kyoata stroke.

Simba wai kimyaaa wanadai wanajenga timu.
Majenga timuuuuu uongo tu
kinachowaponza majirani ni kamdomo
 
Umrongea vice versa
Mshindi wa kwanza na wa pili wa ligi walishaaga michuano kimataifa,Simba anaelekea fainali na anaongoza kundi
😀Nakupa mfano Arsenal kampiga city Leo 5,ila Watu WA mpira tunaona arsenal ni kama jua haeleweki anataka nini maana atamaliza msimu bila kombe hayo ni mawazo yangu

-Narudi kwa Simba kama hufahamu target ya Simba miaka yote Mitano ilikuwa kufikia Nusu fainali ya Mashindano ya CAF hajawai fika hata bahati mbaya,Msimu huu kaongoza shirikisho si Jambo geni maana Yanga alishafanya hivo ila anapofeli ni pale pale anatumia Takwimu za nyuma kama Mafanikio wakati ni daraja ,sitashangaa mm Simba akiishia Nusu fainali maana Hana maajabu akikutana na Mtu mwenye Kasi au technical football shika maneno yangu
 
Ni ya ngapi hivi kwa ubora Africa hii Simba?
Takwimu mm si kitu nachokithamini Sana Naamini katika current performance,Huoni Al hilal kampita Yanga japo kiubora kamzidi kwa CAF....au mfano NBC ni Bora kuliko PSL ya Afrika kusini ila ukitoa Simba ,Yanga na Azam bongo hatuna Timu tishio ya kusumbua ila sauzi wanazo nyiingi tu
 
Timu iko nafasi ya 5 sijui ya 6 kwa orodha za CAF, Orodha za dunia haikosi ya 100 bora

Kuna vitimu havijulikani hata CAF na hata ukilazimisha Rank zitaangukia 1000+

Ila ukisikia tambo zao mwezi mmoja kabla ya mechi unaogipa na unaweza kupata stroke.

Simba wao kimyaaa wanadai wanajenga timu.

Majenga timuuuuu uongo tu
Mkuu unateseka ukiwa wapi dunia kubwa hii.
 
😀Nakupa mfano Arsenal kampiga city Leo 5,ila Watu WA mpira tunaona arsenal ni kama jua haeleweki anataka nini maana atamaliza msimu bila kombe hayo ni mawazo yangu

-Narudi kwa Simba kama hufahamu target ya Simba miaka yote Mitano ilikuwa kufikia Nusu fainali ya Mashindano ya CAF hajawai fika hata bahati mbaya,Msimu huu kaongoza shirikisho si Jambo geni maana Yanga alishafanya hivo ila anapofeli ni pale pale anatumia Takwimu za nyuma kama Mafanikio wakati ni daraja ,sitashangaa mm Simba akiishia Nusu fainali maana Hana maajabu akikutana na Mtu mwenye Kasi au technical football shika maneno yangu
Lamba asali ya ms b kalale
1000230482.jpg
 
Back
Top Bottom