kinachowaponza majirani ni kamdomoTimu iko nasafi ya 5 sijui ya 6 kwa rank za Caf,rank za dunia haikosi ya 100 bora
Kuna vitimu havijulijani hata CAF ba hata ukilazimisha Rank zitaangukia 1000+
Ila ukisikia tambo zao mwezi mmoja kabla ya mechi unaogipa na unaweza kyoata stroke.
Simba wai kimyaaa wanadai wanajenga timu.
Majenga timuuuuu uongo tu
Ni ya ngapi hivi kwa ubora Africa hii Simba?Simba naona ni Tim tishio hapa ndani Tu ila si hatari hivo kimataifa
😀Nakupa mfano Arsenal kampiga city Leo 5,ila Watu WA mpira tunaona arsenal ni kama jua haeleweki anataka nini maana atamaliza msimu bila kombe hayo ni mawazo yanguUmrongea vice versa
Mshindi wa kwanza na wa pili wa ligi walishaaga michuano kimataifa,Simba anaelekea fainali na anaongoza kundi
Takwimu mm si kitu nachokithamini Sana Naamini katika current performance,Huoni Al hilal kampita Yanga japo kiubora kamzidi kwa CAF....au mfano NBC ni Bora kuliko PSL ya Afrika kusini ila ukitoa Simba ,Yanga na Azam bongo hatuna Timu tishio ya kusumbua ila sauzi wanazo nyiingi tuNi ya ngapi hivi kwa ubora Africa hii Simba?
Unaweza kuwa hueleweki,Man U ana makombe 20 ya ligi wingereza sahivi yukwapi ?Simba wanaishi kwa historiaMko nafasi ya 5 CAF mna kombe gani la kimataifa?
Una kombe gani kimataifa? Yaani unajidai rank? Nayo ni kombe?Kimbe nini bana angalia rank
Kama una ushahidi peleka Takukuru.Makolo hawana timu wanahonga sana ila sisi utopolo tunatimu tishio
Man U ana kila aina ya kombe we unaishi katika historia gani?Unaweza kuwa hueleweki,Man U ana makombe 20 ya ligi wingereza sahivi yukwapi ?Simba wanaishi kwa historia
Mkuu unateseka ukiwa wapi dunia kubwa hii.Timu iko nafasi ya 5 sijui ya 6 kwa orodha za CAF, Orodha za dunia haikosi ya 100 bora
Kuna vitimu havijulikani hata CAF na hata ukilazimisha Rank zitaangukia 1000+
Ila ukisikia tambo zao mwezi mmoja kabla ya mechi unaogipa na unaweza kupata stroke.
Simba wao kimyaaa wanadai wanajenga timu.
Majenga timuuuuu uongo tu
Lamba asali ya ms b kalale😀Nakupa mfano Arsenal kampiga city Leo 5,ila Watu WA mpira tunaona arsenal ni kama jua haeleweki anataka nini maana atamaliza msimu bila kombe hayo ni mawazo yangu
-Narudi kwa Simba kama hufahamu target ya Simba miaka yote Mitano ilikuwa kufikia Nusu fainali ya Mashindano ya CAF hajawai fika hata bahati mbaya,Msimu huu kaongoza shirikisho si Jambo geni maana Yanga alishafanya hivo ila anapofeli ni pale pale anatumia Takwimu za nyuma kama Mafanikio wakati ni daraja ,sitashangaa mm Simba akiishia Nusu fainali maana Hana maajabu akikutana na Mtu mwenye Kasi au technical football shika maneno yangu
We una kombe gani zaidi ya zile shanga mlizovishwa na motsepe mnaringa nazo maungoni mwenu? 🤣Una kombe gani kimataifa? Yaani unajidai rank? Nayo ni kombe?
Zaidi ya shanga mlizohongwa na motsepe mna nini huko kimataifaMko nafasi ya 5 CAF mna kombe gani la kimataifa?