Kauli ya Simba ya ‘Tunajenga Timu’ lengo ni kuwapumbaza wasiojielewa

Kwani yanga na azamu Nazo no tishio, azam anamtishia nani?
 
Man U ana kila aina ya kombe we unaishi katika historia gani?
We ndio hujanielewa...Yaani mm namaanisha hivi Man U walifanyaga vzr tuseme 2005,wao wanatembelea historia Ile Ile mpaka Leo 2025 badala ya kubadilisha mbinu ili kuweza kufanikiwa zaidi...Au nikupe mfano Man U ya msimu huu big match anacheza kama fainali ila akikutana na midrange Teams anabomoka Sana Tu kwann?,Sababu Hana strategies anataka awe wapi mwisho WA msimu yaani achezeje game zake mfano huu nauleta kwa Simba wao malengo yao kwa miaka Mitano ni kufikia Nusu fainali ila wakitolewa robo fainali wanalia kwl kwl ukidhani hawa watajipanga msimu ujao,wakianza msimu wanarudia makosa Yale Yale badala ya kutafuta njia ya ziada kuvuka Hapo alipo... Naamini Umenielewa mkuu
 
Hapo ndo nimekuelewa mkuu
 
[emoji38][emoji38] tekniko football au sio
 
Umrongea vice versa
Mshindi wa kwanza na wa pili wa ligi walishaaga michuano kimataifa,Simba anaelekea fainali na anaongoza kundi
Yanga katoka juzi tu kwenye hizo finali ambazo ndio ndoto ya Simba msimu huu, hata hivyo Simba hawezi kuingia finali.
 
Kupima, current perfomance inategemea takwimu boss. Unaposema Africa kusini ligi ni bora ni takwimu hizo. Au?
 
Kwani yanga fainali kafika Jana,SI katolewa juzu tu mabingwa au hayo sio mafanikio ya nyuma.Au kwako nyuma ni nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…