johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Atajuaje?Kama akishinda halafu asitangazwe wewe ghadhabu zilizoko mitaani huzioni?
Mtaa gani unaishi? Huku kwetu amani tele....tunauza midhahabu tuliyochimba wenyewe moja kwa moja sokoni bila kutumia walanguzi na madalali, nipe namba yako PM nikuwekee vocha! JPM Oyee, akimaliza 10 aongezewe 5!Kama akishinda halafu asitangazwe wewe ghadhabu zilizoko mitaani huzioni?
Kwahiyo anapiga mkwara mbuzi?Anakuonya wewe na vibaraka wenzako msithubutu kuchezea uchaguzi huu. Kinachohitajika ni haki bin haki.
NumbersAtajuaje?
Wewe mwenyewe yawezekana hali yako ngumu,JF inakubeba kwakuwa hujulikani!Mtaa gani unaishi? Huku kwetu amani tele....tunauza midhahabu tuliyochimba wenyewe moja kwa moja sokoni bila kutumia walanguzi na madalali, nipe namba yako PM nikuwekee vocha! JPM Oyee, akimaliza 10 aongezewe 5!
Kosa kubwa sana,Nec wanaona aibu kumchulia hatua,ila anakiabisha chama chetu.Hii kauli ya " patachimbika" au " hapatatosha" mgombea urais wa Chadema Tundu Lisu amekuwa akiirudia mara kwa mara na sijawasikia NEC wakisema chochote.
Je ni msamiati wa kisheria au ni mkwara kama mikwara mingine ya vijiweni?
Ufafanuzi Tafadhali, amani ni tunu ya taifa.
Maendeleo hayana vyama!
Hii kauli ya " patachimbika" au " hapatatosha" mgombea urais wa Chadema Tundu Lisu amekuwa akiirudia mara kwa mara na sijawasikia NEC wakisema chochote.
Je ni msamiati wa kisheria au ni mkwara kama mikwara mingine ya vijiweni?
Ufafanuzi Tafadhali, amani ni tunu ya taifa.
Maendeleo hayana vyama!
Dhahabu unajua inachimbwaje?Mtaa gani unaishi? Huku kwetu amani tele....tunauza midhahabu tuliyochimba wenyewe moja kwa moja sokoni bila kutumia walanguzi na madalali, nipe namba yako PM nikuwekee vocha! JPM Oyee, akimaliza 10 aongezewe 5!
Amani ya uonevu wala hatuitaki tena!Hii kauli ya " patachimbika" au " hapatatosha" mgombea urais wa Chadema Tundu Lisu amekuwa akiirudia mara kwa mara na sijawasikia NEC wakisema chochote.
Je ni msamiati wa kisheria au ni mkwara kama mikwara mingine ya vijiweni?
Ufafanuzi Tafadhali, amani ni tunu ya taifa.
Maendeleo hayana vyama!
Kutii sheria ni muhimu,acha ushabiki wa siasa za kibwege. Sheria ni maandiko yenye uhai,utavunjwa kiuno uwe unakunya kwenye kidoo.Ni kama wale wanaosema watakaochezea amani watakiona cha moto!Hivyo ni vitisho pia!
Sasa na Lissu anasema ole wao watakaovuruga uchaguzi!Atakayemwaga mboga basi na ugali lazima utamwagika!
Sanduku la kura liheshimiwe ili amani itamalaki!
Makamanda wenye akili hatushabikii upuuzi. Kama mitaani hata madiwani wa chama chetu hawana hela za kampeni atashinda!Kama akishinda halafu asitangazwe wewe ghadhabu zilizoko mitaani huzioni?