Kauli ya Tundu Lissu kwamba kama akishinda asipotangazwa mshindi " Patachimbika", anamtisha nani na anamaanisha nini?

Hii kauli ya " patachimbika" au " hapatatosha" mgombea urais wa Chadema Tundu Lisu amekuwa akiirudia mara kwa mara na sijawasikia NEC wakisema chochote.

Je ni msamiati wa kisheria au ni mkwara kama mikwara mingine ya vijiweni?

Ufafanuzi Tafadhali, amani ni tunu ya taifa.

Maendeleo hayana vyama!
Yaliyomkuta Noriega Miaka ya 80

Yaliwahi kuwakuta Akina samwel Doe
Yakamkuta ghadafi, sadam, na Gbagbo

Juzi yalimkuta Mugabe,

Jana yememkuta albashiri
 
Lisu hawezi kushinda ... asidanganywe na ule umati wengi kura hawatipiga pili lowassa alikuwa na nyomi kushinda lile
 
Hii kauli ya " patachimbika" au " hapatatosha" mgombea urais wa CHADEMA Tundu Lisu amekuwa akiirudia mara kwa mara na sijawasikia NEC wakisema chochote.

Je ni msamiati wa kisheria au ni mkwara kama mikwara mingine ya vijiweni?

Ufafanuzi Tafadhali, amani ni tunu ya taifa.

Maendeleo hayana vyama!
Utajua tarehe 29/10/2020.
 
Hizo ni propaganda za kutaka kuwaaminisha Watanzania kwamba atashinda japokuwa kwa nafsi yake anajua atapigwa chini iwa tofauti kubwa ya Kura na JPM.

Anataka kuleta machafuko kutokana na support anayopewa na Mataifa ya Kigeni na Mabeberu ambao wanamfadhili kwenye kampeni zake.
 
Hii kauli ya " patachimbika" au " hapatatosha" mgombea urais wa CHADEMA Tundu Lisu amekuwa akiirudia mara kwa mara na sijawasikia NEC wakisema chochote.

Je ni msamiati wa kisheria au ni mkwara kama mikwara mingine ya vijiweni?

Ufafanuzi Tafadhali, amani ni tunu ya taifa.

Maendeleo hayana vyama!

Amani ni blanketi la kuwalaza wapinzani waendelee kuwa makondoo kwa kunyamaza pindi wanapodhulumiwa kwenye box la kura.
 
Hii kauli ya " patachimbika" au " hapatatosha" mgombea urais wa CHADEMA Tundu Lisu amekuwa akiirudia mara kwa mara na sijawasikia NEC wakisema chochote.

Je ni msamiati wa kisheria au ni mkwara kama mikwara mingine ya vijiweni?

Ufafanuzi Tafadhali, amani ni tunu ya taifa.

Maendeleo hayana vyama!
Unajadili tokeo (Kuchimbika)badala ya kisababishi (Uhuni wa Wizi wa Kura )
Pathetic
 
Lissu uchaguzi huu kaachiwa uhuru basi anajiona yeye ndo mungu subiri uchaguzi uishe atakua mtu wa kuriport mahakamani JPM anamsoma tu tabia yake uraisi kwa Lisu ni kuatu kikubwa sana
Mmeona eeh,kumbe huwa ni matakwa ya JPM kuwashurutisha wapinzani!😁😁
 
Hii kauli ya " patachimbika" au " hapatatosha" mgombea urais wa CHADEMA Tundu Lisu amekuwa akiirudia mara kwa mara na sijawasikia NEC wakisema chochote.

Je, ni msamiati wa kisheria au ni mkwara kama mikwara mingine ya vijiweni?

Ufafanuzi Tafadhali, amani ni tunu ya taifa.

Maendeleo hayana vyama!
Huu ni mkwara mbuzi kama ilivyo mikwara mingine yoyote toka hicho chama na viongozi wake.
 
Back
Top Bottom