Yaliyomkuta Noriega Miaka ya 80Hii kauli ya " patachimbika" au " hapatatosha" mgombea urais wa Chadema Tundu Lisu amekuwa akiirudia mara kwa mara na sijawasikia NEC wakisema chochote.
Je ni msamiati wa kisheria au ni mkwara kama mikwara mingine ya vijiweni?
Ufafanuzi Tafadhali, amani ni tunu ya taifa.
Maendeleo hayana vyama!
Mitaa gani? Msalala nzima wanamgombea wa udiwani Kakola. Segese yote Ccm tu. Mnadanganya anapoteza pesa na muda.
Jamaa yenu aliyekatwa sikio Moshi amepona?
Utajua tarehe 29/10/2020.Hii kauli ya " patachimbika" au " hapatatosha" mgombea urais wa CHADEMA Tundu Lisu amekuwa akiirudia mara kwa mara na sijawasikia NEC wakisema chochote.
Je ni msamiati wa kisheria au ni mkwara kama mikwara mingine ya vijiweni?
Ufafanuzi Tafadhali, amani ni tunu ya taifa.
Maendeleo hayana vyama!
Hii kauli ya " patachimbika" au " hapatatosha" mgombea urais wa CHADEMA Tundu Lisu amekuwa akiirudia mara kwa mara na sijawasikia NEC wakisema chochote.

Unajadili tokeo (Kuchimbika)badala ya kisababishi (Uhuni wa Wizi wa Kura )Hii kauli ya " patachimbika" au " hapatatosha" mgombea urais wa CHADEMA Tundu Lisu amekuwa akiirudia mara kwa mara na sijawasikia NEC wakisema chochote.
Je ni msamiati wa kisheria au ni mkwara kama mikwara mingine ya vijiweni?
Ufafanuzi Tafadhali, amani ni tunu ya taifa.
Maendeleo hayana vyama!
Mmeona eeh,kumbe huwa ni matakwa ya JPM kuwashurutisha wapinzani!😁😁Lissu uchaguzi huu kaachiwa uhuru basi anajiona yeye ndo mungu subiri uchaguzi uishe atakua mtu wa kuriport mahakamani JPM anamsoma tu tabia yake uraisi kwa Lisu ni kuatu kikubwa sana
Huu ni mkwara mbuzi kama ilivyo mikwara mingine yoyote toka hicho chama na viongozi wake.Hii kauli ya " patachimbika" au " hapatatosha" mgombea urais wa CHADEMA Tundu Lisu amekuwa akiirudia mara kwa mara na sijawasikia NEC wakisema chochote.
Je, ni msamiati wa kisheria au ni mkwara kama mikwara mingine ya vijiweni?
Ufafanuzi Tafadhali, amani ni tunu ya taifa.
Maendeleo hayana vyama!