johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Huyo ni ktk viroboto vilivyobaki humu.."uzalendo ni nini? CAG, katoa report ya kuibiwa ma milioni, watu wapo, labda mniambie maana ya Uzalendo, sijamwona Mzalendo hii Tanzania, labda warioba.
Wagome wafe njaa, wenzao wako kwenye mavieite na per diem kama kawa.Makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu kupitia ukurasa wake wa twitter amewapongeza Wafanyabiashara wa Kariakoo kwa kudai haki zao kwa njia ya Mgomo
Tundu Lisu amesema anategemea Wafanyabiashara hao watagoma hadi Rais Samia atakapokuja kuwasikiliza kwa sababu matatizo yao siyo kwamba hayajui
Kuna wakati Tundu Lisu busara za Kiuongozi huwa zinamtoka kabisa na kubakia empty set!
Kwani Rais ni wa nani?Makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu kupitia ukurasa wake wa twitter amewapongeza Wafanyabiashara wa Kariakoo kwa kudai haki zao kwa njia ya Mgomo
Tundu Lisu amesema anategemea Wafanyabiashara hao watagoma hadi Rais Samia atakapokuja kuwasikiliza kwa sababu matatizo yao siyo kwamba hayajui
Kuna wakati Tundu Lisu busara za Kiuongozi huwa zinamtoka kabisa na kubakia empty set!
Msema ukweli ni mpenzi wa Mungu π€Makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu kupitia ukurasa wake wa twitter amewapongeza Wafanyabiashara wa Kariakoo kwa kudai haki zao kwa njia ya Mgomo
Tundu Lisu amesema anategemea Wafanyabiashara hao watagoma hadi Rais Samia atakapokuja kuwasikiliza kwa sababu matatizo yao siyo kwamba hayajui
Kuna wakati Tundu Lisu busara za Kiuongozi huwa zinamtoka kabisa na kubakia empty set!
A SPADE IS A SPADE NOT A BIG SPOON! CCM MMEZOEA UNAFIKI, HUYU HANA UNAFIKI, HE SAYS IT POINT BLANK!Kuna wakati Tundu Lisu busara za Kiuongozi huwa zinamtoka kabisa na kubakia empty set!
Waziri mkuu atatokana na wabunge wa kuchaguliwa. Majaliwa alichaguliwa na nani? Alipata kura ngapi?Huyu nae mchochezi kwani waziri mkuu anamuona ni mtu mdogo!? Aache kudharau mamlaka. Uwepo wa waziri mkuu pale tayari ni ishara tosha kabisa kwamba Mh. Rais atapata taarifa zote
Hawezi kuwa na majibu haya. PM ni mtu wa kawaida tu kwenye nchi zenye demokrasi...... sawa na waziri tu ila yeye anakuwa kiongozi wao, but is not fallible! he is subjct to criticismWaziri mkuu atatokana na wabunge wa kuchaguliwa. Majaliwa alichaguliwa na nani? Alipata kura ngapi?
ππ Umeshapanic πWatu Kama mtoa mada wana mchango mdg sn kwenye maendeleo ya taifa letu
Makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu kupitia ukurasa wake wa twitter amewapongeza Wafanyabiashara wa Kariakoo kwa kudai haki zao kwa njia ya Mgomo.
Tundu Lisu amesema anategemea Wafanyabiashara hao watagoma hadi Rais Samia atakapokuja kuwasikiliza kwa sababu matatizo yao siyo kwamba hayajui.
Kuna wakati Tundu Lisu busara za Kiuongozi huwa zinamtoka kabisa na kubakia empty set.
Leo tena kawa empty set.Makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu kupitia ukurasa wake wa twitter amewapongeza Wafanyabiashara wa Kariakoo kwa kudai haki zao kwa njia ya Mgomo.
Tundu Lisu amesema anategemea Wafanyabiashara hao watagoma hadi Rais Samia atakapokuja kuwasikiliza kwa sababu matatizo yao siyo kwamba hayajui.
Kuna wakati Tundu Lisu busara za Kiuongozi huwa zinamtoka kabisa na kubakia empty set.
Ukiwaona Watu hawataki kuonana na Mawaziri wa kisekta yaani Kijaji, Mwigulu na Angela na badala yake wanamtaka Rais Samia ujue tatizo ni kubwa sana!Although siungi mkono kauli yake napenda kuuliza , way forward ni ipi sasa? Maana matamko yamekuwa mengi lakini hakuna la maana lilofanyika
Tatizo kubwa liko upande hupi?? Mbona ueleweki?? SpecifyUkiwaona Watu hawataki kuonana na Mawaziri wa kisekta yaani Kijaji, Mwigulu na Angela na badala yake wanamtaka Rais Samia ujue tatizo ni kubwa sana!