Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Ukiwaona Watu hawataki kuonana na Mawaziri wa kisekta yaani Kijaji, Mwigulu na Angela na badala yake wanamtaka Rais Samia ujue tatizo ni kubwa sana!
Bado hujatoa way forward nn kifanyike au nn kingefanyika