Detective J JF-Expert Member Joined Oct 17, 2016 Posts 24,058 Reaction score 41,518 May 16, 2023 #21 johnthebaptist said: Ukiwaona Watu hawataki kuonana na Mawaziri wa kisekta yaani Kijaji, Mwigulu na Angela na badala yake wanamtaka Rais Samia ujue tatizo ni kubwa sana! Click to expand... Bado hujatoa way forward nn kifanyike au nn kingefanyika
johnthebaptist said: Ukiwaona Watu hawataki kuonana na Mawaziri wa kisekta yaani Kijaji, Mwigulu na Angela na badala yake wanamtaka Rais Samia ujue tatizo ni kubwa sana! Click to expand... Bado hujatoa way forward nn kifanyike au nn kingefanyika
Mulama JF-Expert Member Joined Apr 16, 2011 Posts 3,036 Reaction score 1,808 May 16, 2023 #22 Kama ni kweli TunduLissu kayasema haya inawezekana maumivu ya maoperations na ganzi nyingi zimemharibu ubongo! Hapa wa kualumiwa ni marehemu bashite sio Lissu.
Kama ni kweli TunduLissu kayasema haya inawezekana maumivu ya maoperations na ganzi nyingi zimemharibu ubongo! Hapa wa kualumiwa ni marehemu bashite sio Lissu.
J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 97,869 Reaction score 171,716 May 16, 2023 Thread starter #23 Robot la Matope said: Tatizo kubwa liko upande hupi?? Mbona ueleweki?? Specify Click to expand... Upande wa sheria!
Robot la Matope said: Tatizo kubwa liko upande hupi?? Mbona ueleweki?? Specify Click to expand... Upande wa sheria!
Per Diem JF-Expert Member Joined Mar 28, 2018 Posts 2,189 Reaction score 3,724 May 16, 2023 #24 Bams said: Waziri mkuu atatokana na wabunge wa kuchaguliwa. Majaliwa alichaguliwa na nani? Alipata kura ngapi? Click to expand... Raisi wa sasa alikua makamu, je alichaguliwa na wananchi?
Bams said: Waziri mkuu atatokana na wabunge wa kuchaguliwa. Majaliwa alichaguliwa na nani? Alipata kura ngapi? Click to expand... Raisi wa sasa alikua makamu, je alichaguliwa na wananchi?
P Pohamba JF-Expert Member Joined Jun 2, 2015 Posts 27,632 Reaction score 61,194 May 16, 2023 #25 Hasira za kutojumuishwa kwny Kamati ya maridhiano hizi wala kupewa update ya kinachoendelea