misimajumbasita
Senior Member
- Jun 10, 2018
- 157
- 273
Siipendi hii kauli narudia tena siipendi hii kauli
Ni wazi sasa usemi huu umerudi kwa kasi ya ajabu.
Unanijiua mimi ni nani ni kauli ilio ilio jizolea umaarufu sana kwenye tawala nyingi sana lakini si awamu ya tano (JPM alihakikisha mwenye cheo hamnyanyasi mwenye hana cheo)
Kauli hii imekua ikitumika sana kuwaonea wanyonge, kuwashambulia wanyonge na kuzua taharuki kwa wanyonge kuwatishia wanyonge
Kauli hii ni imejawa na ukosefu wa nidhamu kwa anae itumia na inakera mno.
Naomba mamlaka husika turejee nini? au tufuatishe nin kilifanyika awamu ya tano mpaka kauli hii ikawa sio tumivu.