Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole lakini. Itakuwa imegota au vipi?Tutakuona kwenye tuzo za jf kwa uandikiji wako mashuhuli
Uzuri wa Mwendazake unasakwa kwa kutumia Hadubini...
Kwanini huezi kukaa kwenye ajenda ya kauli wewe chaka lako nimeendaika mara ngap unapenda umaarufu wa kijinga sio wote tupo na muda wa kuandika humu tafuta shuhuli zingine
Ungemwambia vingine tu mzee[emoji16]Kuna kadada kalipaki gar barabaran akashuka kwenda dukan kweny hz njia za mtaan uswahilin sasa akawa ameziba njia, Nkashuka kumwambia toa gar yak na wngne tupite tunacheleweshana akaanza kuniambia "unanifokea unanijua mim ni nani?"...
Tunaomba chanzo cha hii tafsiri yako mkuu. Kama chanzo ni wewe mwenyewe pia useme.Sipendi hiyo kauli ya kuita watu wanyonge narudia tena sipendi sana.
Mnyonge ni goigoi, asiye na kitu, sio hana kitu tu bali hawezi kufanya kitu kujilinda anategemea mtu mwingine asie mnyonge.
Mwendazake aliwapa sumu kali sana ya kuwaita nyie wanyonge. Sema tu mtu wa kipato cha chini/ kati sio mnyonge bna hii ni dharau.
Sina hakika kama kina Ben, Azory, Mawazo, wa kwenye viroba nk wakiwamo ndugu na jamaa zao wanaweza kuwa na maneno mazuri sana kwa huyo bwana.
Mambo ya legacy yalisha gonga ukuta.
Legacy? Labda utuambie kwanza nani walikiwa kwenye viroba?
Wako wapi kina Ben na akina Azory?
Nani waliwauwa kina Akwilina?
Angalau tuanzie hapo kwanza.
Tunaomba chanzo cha hii tafsiri yako mkuu. Kama chanzo ni wewe mwenyewe pia useme.
Jambo sio legecy mm napinga matumizi kauli ya unanijua mimi ni nani tu mambo ya siasa sio ya kwangu
Njoo kwa ushauri ya maswala ya urembo na fashion
Soma hapo.Tunaomba chanzo cha hii tafsiri yako mkuu. Kama chanzo ni wewe mwenyewe pia useme.
Anzisha uzi wako uwaulizie hao sijui ni wanamichezo au wananisiasa na kama walisha kufa kwann ukumbushe wafiwa kidonda kilicho kua kimepona
Changia mada ya matumizi ya unanijua mimi ni nani kama hujawai kutano nayo basi pita kimya kinya
Uzi wowote wa legacy ya huyo bwana bila majibu kwa waliopotea au kufa lazima ukumbushwe kutoa majibu. Wajibu huo utakuwa siku zote.
Vumilia tu mkuu. Ukianzisha mwingine ni wajibu wetu kukumbusha.
Ni hayo tu.
Partly uko sahii. Hongera.
Uzi wowote wa legacy ya huyo bwana bila majibu kwa waliopotea au kufa lazima ukumbushwe kutoa majibu. Wajibu huo utakuwa siku zote.
Vumilia tu mkuu. Ukianzisha mwingine ni wajibu wetu kukumbusha.
Ni hayo tu.
Duuh biblia tena, kwani linatumika kwa wakristo pekee??Partly uko sahii. Hongera.
Ila sasa naamini kwamba Watanzania wengi ni wavivu wa kusoma. Yani tunategemea sana mitandao, kila kitu tuna-google na hatudadisi any further...
Duuh biblia tena, kwani linatumika kwa wakristo pekee??
Wanasiasa wanalitumia kwa maana hiyo hapo juu. Hizo maana nyingine zinatumiwa na makundi mengine.
Mwendazake alipokua akisema anawatetea wanyonge means anawatetea wasioweza kujitetea ndio tafsiri yake hiyo.
Nimefikilia tu yule jamaa aliyemuua afisa kipenyo hapo Dar alipata wapi ujasiri. Hii mada inaendana na kitendo cha jamaa kila akilewa anatoa gunSiipendi hii kauli narudia tena siipendi hii kauli
Ni wazi sasa usemi huu umerudi kwa kasi ya ajabu.
Unanijiua mimi ni nani ni kauli ilio ilio jizolea umaarufu sana kwenye tawala nyingi sana lakini si awamu ya tano (JPM alihakikisha mwenye cheo hamnyanyasi mwenye hana cheo)
Kauli hii imekua ikitumika sana kuwaonea wanyonge, kuwashambulia wanyonge na kuzua taharuki kwa wanyonge kuwatishia wanyonge
Kauli hii ni imejawa na ukosefu wa nidhamu kwa anae itumia na inakera mno.
Naomba mamlaka husika turejee nini? au tufuatishe nin kilifanyika awamu ya tano mpaka kauli hii ikawa sio tumivu.
Nimefikilia tu yule jamaa aliyemuua afisa kipenyo hapo Dar alipata wapi ujasiri. Hii mada inaendana na kitendo cha jamaa kila akilewa anatoa gun
Usalama wana kazi nyingi. Anaweza hata kuwa sheikh au mchungaji.Jambo hili lina ukakasi uyo gift si tumeambiwa kua alikua ni fundi wa magari