misimajumbasita
Senior Member
- Jun 10, 2018
- 157
- 273
Ameitamka nani?
Wewe mfua chupi tu za wahindi... alisikika jamaa mmoja akimwambia mwenzie.
Na jamaa akanywea.
Kikubwa ukiambia hivyo na we we kuwa mkavu.
Mbinguni kwenyewe mnyonge haitajiki! [emoji28][emoji28]
Sijui kwanini mnaufurahia huo unyonge..
Mwendazake mwenyewe alikuwa haitumii? Au kujitoa ufahamu tu?Siipendi hii kauli narudia tena siipendi hii kauli
Ni wazi sasa usemi huu umerudi kwa kasi ya ajabu...
Sijawahi kuulizwa hivyo! Maana wanaouliza hivyo huwa wanaangalia kwanza..Ajenda iwe unajijua mimi nani?sio wanyonge
Wewe kauli hii ukiambiwa hua unajisikiaje
Ni kauli mbya inazua hofu kwan unawaza huyu ndie alex koroso nini[emoji1787][emoji1787]
Mwendazake mwenyewe alikuwa haitumii? Au kujitoa ufahamu tu?
Napata ujasiri usio na kifani,yaani ukipata bahati nikuhoji " namimi unanijua ni Nani?" Shukuru MUNGU! Maana naweza nikakumwagia MAKOFI yakutosha TU!!!Ajenda iwe unajijua mimi nani?sio wanyonge
Wewe kauli hii ukiambiwa hua unajisikiaje
Sipendi hiyo kauli ya kuita watu wanyonge narudia tena sipendi sana.
Mnyonge ni goigoi, asiye na kitu, sio hana kitu tu bali hawezi kufanya kitu kujilinda anategemea mtu mwingine asie mnyonge.
Mwendazake aliwapa sumu kali sana ya kuwaita nyie wanyonge. Sema tu mtu wa kipato cha chini/ kati sio mnyonge bna hii ni dharau.
Tumepishana miaka miwili nyani mwenzangu sisi niwale wale naungana na wewe
Miaka 2 nyani wewe umeandika mara 28 zikiwamo ngapi za leo?
Wewe si wa mwanzo wimbi hili #3 delta limeonekana siku za karibuni.
Hiiiiii bagosha
Miaka 2 nyani wewe umeandika mara 28 zikiwamo ngapi za leo?
Wewe si wa mwanzo wimbi hili #3 delta limeonekana siku za karibuni.
Hiiiiii bagosha