PakiJinja
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,689
- 25,848
Yes, ndiye huyo. Yupo Dodoma kwa ziara ya kikazikwani mkurugenzi wa WHO ndio huyo aliyekuwepo Dodoma?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes, ndiye huyo. Yupo Dodoma kwa ziara ya kikazikwani mkurugenzi wa WHO ndio huyo aliyekuwepo Dodoma?
Kuna mambo mengine yanakera sana!! Kiongozi wa nchi anaenda kuomba msaada wa vyoo akiwa kwenye gari la milioni mia mbili na ushee VX ama V8! Tuna akili nzuri kweli?Endeleeni kulia kusaidiwa kila kitu
Mnalilia misaada ya vyoo
Mkuu nadhani haupo sawa...... Yaani mkurugenzi wa WHO mie nisimfahamu? Kaingia Jumapili Dodoma then Jumatatu akaja ofisini,kisha akaelekea Chamwino mkuuhuyo ni bosi mdogo wa kanda ya afrika tu, bosi mkubwa wa dunia nzima yuko geneva yaliko makao makuu ya WHO
Ndio mkuu na tumesalimiana naekwani mkurugenzi wa WHO ndio huyo aliyekuwepo Dodoma?
naona mi ndio simjui bosi wa WHO, tangu nitoke shuleni nilishaacha kufuatilia wakuu wa mashirika ya UN. Hata baadhi ya wizara hapa tz sijui mawaziri na manaibu wao ni kina naniMkuu nadhani haupo sawa...... Yaani mkurugenzi wa WHO mie nisimfahamu? Kaingia Jumapili Dodoma then Jumatatu akaja ofisini,kisha akaelekea Chamwino mkuu
YMCAKauli ya WHO Kuhusu Taarifa ya Marekani Kujitoa katika shirika hilo
Shirika la Afya Duniani (WHO) limesikitishwa dhidi ya tangazo la Marekani kwamba inapanga kujitoa katika Shirika hilo.
WHO ina jukumu muhimu la kulinda afya na usalama wa watu duniani, wakiwemo Wamarekani, kwa kushughulikia chanzo cha magonjwa, kujenga mifumo imara ya afya, na kugundua, kuzuia, na kuwajibika dhidi ya dharura za kiafya, ikiwa ni pamoja na milipuko ya magonjwa, mara nyingi katika maeneo hatari ambapo wengine hawawezi kufika.
Marekani ilikuwa mwanachama mwanzilishi wa WHO mwaka 1948 na imekuwa ikishiriki katika kuunda na kusimamia kazi za Shirika tangu wakati huo, pamoja na Nchi Wanachama wengine 193, ikiwemo ushiriki wake wa kikamilifu katika Mkutano Mkuu wa Afya Duniani na Bodi ya Utendaji. Kwa zaidi ya miongo saba, WHO na Marekani wameokoa maisha ya watu wasiohesabika na kulinda Wamarekani na watu wote dhidi ya vitisho vya kiafya. Pamoja, tuliangamiza ndui, na pamoja tumekaribia kutokomeza polio. Taasisi za Marekani zimechangia na kufaidika kutokana na uanachama wao katika WHO.
Kwa ushiriki wa Marekani na Nchi Wanachama wengine, WHO katika miaka 7 iliyopita imefanya mabadiliko makubwa zaidi katika historia yake, kuboresha uwajibikaji, ufanisi wa gharama, na athari zake katika nchi mbalimbali.
Kazi hii inaendelea. Tunatumaini kwamba Marekani itatafakari upya uamuzi wake, na tunatazamia kuendeleza mazungumzo yenye kujenga ili kudumisha ushirikiano kati ya Marekani na WHO, kwa manufaa ya afya na ustawi wa mamilioni ya watu duniani kote.
=====
WHO comments on United States announcement of intent to withdraw
The World Health Organization regrets the announcement that the United States of America intends to withdraw from the Organization.
WHO plays a crucial role in protecting the health and security of the world’s people, including Americans, by addressing the root causes of disease, building stronger health systems, and detecting, preventing and responding to health emergencies, including disease outbreaks, often in dangerous places where others cannot go.
The United States was a founding member of WHO in 1948 and has participated in shaping and governing WHO’s work ever since, alongside 193 other Member States, including through its active participation in the World Health Assembly and Executive Board. For over seven decades, WHO and the USA have saved countless lives and protected Americans and all people from health threats. Together, we ended smallpox, and together we have brought polio to the brink of eradication. American institutions have contributed to and benefited from membership in WHO.
With the participation of the United States and other Member States, WHO has over the past 7 years implemented the largest set of reforms in its history, to transform our accountability, cost-effectiveness, and impact in countries.
This work continues. We hope the United States will reconsider and we look forward to engaging in constructive dialogue to maintain the partnership between the USA and WHO, for the benefit of the health and well-being of millions of people around the globe.
View attachment 3208722
huyo ndio wa Duniahuyo ni bosi mdogo wa kanda ya afrika tu, bosi mkubwa wa dunia nzima yuko geneva yaliko makao makuu ya WHO
Basi bora taarifa imemkuta akiwa hapa, anaweza kujadiliana na mama hatua gani tuzichukue kama nchi ili kuendana na mabadiliko hayaMkurugenzi wa WHO alikua Dodoma jana na baada ya kutoka liaison office Dodoma alikwenda Chamwino Ikulu kuongea na Mama kuhusu Marbug Virus na nadhani taarifa aliipata akiwa bado yupo Dodoma
Halafu bado wanaoitwa wataalamu badala ya kutumia akili ya kuongeza ajira ndio kwanza wanakuambia bado tunakopeshekaKuna mambo mengine yanakera sana!! Kiongozi wa nchi anaenda kuomba msaada wa vyoo akiwa kwenye gari la milioni mia mbili na ushee VX ama V8! Tuna akili nzuri kweli?
Marekani inataka kukuza Shrika lao la CDC.Kauli ya WHO Kuhusu Taarifa ya Marekani Kujitoa katika shirika hilo
Shirika la Afya Duniani (WHO) limesikitishwa dhidi ya tangazo la Marekani kwamba inapanga kujitoa katika Shirika hilo.
WHO ina jukumu muhimu la kulinda afya na usalama wa watu duniani, wakiwemo Wamarekani, kwa kushughulikia chanzo cha magonjwa, kujenga mifumo imara ya afya, na kugundua, kuzuia, na kuwajibika dhidi ya dharura za kiafya, ikiwa ni pamoja na milipuko ya magonjwa, mara nyingi katika maeneo hatari ambapo wengine hawawezi kufika.
Marekani ilikuwa mwanachama mwanzilishi wa WHO mwaka 1948 na imekuwa ikishiriki katika kuunda na kusimamia kazi za Shirika tangu wakati huo, pamoja na Nchi Wanachama wengine 193, ikiwemo ushiriki wake wa kikamilifu katika Mkutano Mkuu wa Afya Duniani na Bodi ya Utendaji. Kwa zaidi ya miongo saba, WHO na Marekani wameokoa maisha ya watu wasiohesabika na kulinda Wamarekani na watu wote dhidi ya vitisho vya kiafya. Pamoja, tuliangamiza ndui, na pamoja tumekaribia kutokomeza polio. Taasisi za Marekani zimechangia na kufaidika kutokana na uanachama wao katika WHO.
Kwa ushiriki wa Marekani na Nchi Wanachama wengine, WHO katika miaka 7 iliyopita imefanya mabadiliko makubwa zaidi katika historia yake, kuboresha uwajibikaji, ufanisi wa gharama, na athari zake katika nchi mbalimbali.
Kazi hii inaendelea. Tunatumaini kwamba Marekani itatafakari upya uamuzi wake, na tunatazamia kuendeleza mazungumzo yenye kujenga ili kudumisha ushirikiano kati ya Marekani na WHO, kwa manufaa ya afya na ustawi wa mamilioni ya watu duniani kote.
=====
WHO comments on United States announcement of intent to withdraw
The World Health Organization regrets the announcement that the United States of America intends to withdraw from the Organization.
WHO plays a crucial role in protecting the health and security of the world’s people, including Americans, by addressing the root causes of disease, building stronger health systems, and detecting, preventing and responding to health emergencies, including disease outbreaks, often in dangerous places where others cannot go.
The United States was a founding member of WHO in 1948 and has participated in shaping and governing WHO’s work ever since, alongside 193 other Member States, including through its active participation in the World Health Assembly and Executive Board. For over seven decades, WHO and the USA have saved countless lives and protected Americans and all people from health threats. Together, we ended smallpox, and together we have brought polio to the brink of eradication. American institutions have contributed to and benefited from membership in WHO.
With the participation of the United States and other Member States, WHO has over the past 7 years implemented the largest set of reforms in its history, to transform our accountability, cost-effectiveness, and impact in countries.
This work continues. We hope the United States will reconsider and we look forward to engaging in constructive dialogue to maintain the partnership between the USA and WHO, for the benefit of the health and well-being of millions of people around the globe.
View attachment 3208722
Hahahah inasikitisha sana na wana PhD kibao.Halafu bado wanaoitwa wataalamu badala ya kutumia akili ya kuongeza ajira ndio kwanza wanakuambia bado tunakopesheka
Hiyo mikopo wanatumia sijui kufanyia nini maana huoni maendeleo yoyote Africa
Yaani hata aibu hawana kupokea misaada
Za kukariri kama wana PhD wakaombe kazi nje kama watapataHahahah inasikitisha sana na wana PhD kibao.