Kauli yenye akili ya Simbachawene: Mh Rais mimi sina nyota hata moja hivyo jukumu la kuvisimamia vyombo vya dola ni lako Amiri Jeshi mkuu

Aiseh hili sikuwahi kulifikiria kichwani mwangu ingawa several times huwa nawaza mbona Dr. Mwinyi anasurvive pale Ulinzi na usalama bila shida ingawa ndio pagumu?
Kwa maneno rahisi hawa waliotangulia walikosa hekima 'acknowledging the authority' walipokuwa wizarani.
Hapo ndio unapokuja kujua ukikaa kwenye kiti fulani waulize waliokutangulia na wakapita successively ndio usalama wako.
Kwa kauli hiyo ya simbachawene ameshatoboa na nadhani hatowafokea tena wale makamishna.
Kila apitaye upita kwa njia yake wengine kutotii maagizo,kula bila kunawa kupelekea kufukuzwa mezani,nk.Mwinyi kadumu pale ndipo wizara nyepesi na isiyo na changamoto kuliko zote hata matamko na maagizo sio Sana pia ile inajitegemea na iko huru sio sawa na zingine kama roboti,ile wizara huwa ngumu pasipo na amani
 
Aiseh hili sikuwahi kulifikiria kichwani mwangu ingawa several times huwa nawaza mbona Dr. Mwinyi anasurvive pale Ulinzi na usalama bila shida ingawa ndio pagumu?
Kwa maneno rahisi hawa waliotangulia walikosa hekima 'acknowledging the authority' walipokuwa wizarani.
Hapo ndio unapokuja kujua ukikaa kwenye kiti fulani waulize waliokutangulia na wakapita successively ndio usalama wako.
Kwa kauli hiyo ya simbachawene ameshatoboa na nadhani hatowafokea tena wale makamishna.
JWTZ na JKT ukipewa uwaziri kutongoza hivyo vyombo unakuwa hauna ishu za kuongea sana, kwanza wao hawana muingiliano sana na wananchi, sasa Waziri wa mambo ya ndani ni shida kubwa kwanza wananchi vs Polisi, DPP vs wenye makosa ya jidai, Magereza askari vs Wafungwa, Zimamoto vs Wananchi, maana yake Hiii wizara ya mambo ya ndani imejikita katika kutoa huduma kwa wananchi, tofauti na wizara ya ulinzi ambayo inalinda zaidi mipaka ya nchi na JKT kufanya miradi ya ujenzi.
 
WanaCCM ni wanafiki sana wakipewa Ugali utashangaa wanavyojipamba na bendera za Taifa wakipigwa chini na bendera zimayeyuka mfano hai ni Mwigulu na Lugola.
 
Ongera zake. Kajieleza vizuri. Ila hapo naona wanategana na mkuu wake wa kazi
Hata mm nimeona Kuna mtego upo hapo
Mkuu wake anategemea sana sheria ya kijana wake na kijana anategemea sanaa mkuu anataka nn hasa kwenye suala la mkataba wa lugola

mwanabhonga
 
Baada ya Waziri wa Mambo ya Ndani Mh. Simbachawene kutoa kauli hii ndipo Mh Rais Magufuli akampongeza kwa kulitambua hilo na kumuambia kuwa hata Waziri Mwinyi amedumu Wizara ya Ulinzi kwa sababu analielewa vizuri jambo hilo.

Rais Magufuli akasisitiza kuwa Wakuu wa vyombo vya ulinzi wanaripoti moja kwa moja kwa Rais ambaye ndiye Amiri Jeshi Mkuu.

Mh Simbachawene amesema yeye atajikita kwenye shughuli za kiutawala na kwa upande wa vyombo vya dola atakuwa anatoa ushauri kwa Mh Rais Magufuli pale inapobidi.

Maendeleo hayana vyama!

Kuwa wakuu wa vyombo vya usalama wanalipoti moja kwa moja kwa rais halina ubishi (Rais ni amiri jeshi mkuu) lakini kwenye majukumu ya kiwizara ikoje? Maana sheria inayosimamia jeshi la polisi Tanzania ( Police force and auxilliary services Act,Cap322) Kifungu cha 7(1)(2) kinatamka bayana kuwa IGP atafanya kazi kwa amri ya waziri wa mambo ya ndani. Hapo sasa nashindwa kuuelewa hii imekaa vipi?
Ndio maana kule Rukwa kuna askari walifanya makosa. Waziri wa mambo ya ndani alitoa amri ili wachukuliwe hatua. Hawakutii amri ya waziri wa mambo ya ndani Mh Rais alimsimamisha kazi kaimu Rpc. Hapa mimi kama layman inanichanganya kidogo. Kuripoti kwa rais na ministerial responsibility? Kipi ni kipi?
Labda tu ile ya kupeana amri hadharani ndio haikukaa vizuri.
 
Baada ya Waziri wa Mambo ya Ndani Mh. Simbachawene kutoa kauli hii ndipo Mh Rais Magufuli akampongeza kwa kulitambua hilo na kumuambia kuwa hata Waziri Mwinyi amedumu Wizara ya Ulinzi kwa sababu analielewa vizuri jambo hilo.

Rais Magufuli akasisitiza kuwa Wakuu wa vyombo vya ulinzi wanaripoti moja kwa moja kwa Rais ambaye ndiye Amiri Jeshi Mkuu.

Mh Simbachawene amesema yeye atajikita kwenye shughuli za kiutawala na kwa upande wa vyombo vya dola atakuwa anatoa ushauri kwa Mh Rais Magufuli pale inapobidi.

Maendeleo hayana vyama!
Hivi waziri akimwagiza IGP atengue uteuzi wa RPC kwa sababu anazoona ni za msingi sio suala la kiutawala? Au utawala alioongelea Simbachawene ni upi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba niweke wazi hapa nahitaji kueleweshwa juu ya hili suala. Katika hotuba yake Waziri wa mambo ya ndani alidokeza juu ya utawala ndani ya wizara ya Mambo ya ndani, akadai hana nyota na wala yeye si Amiri jeshi mkuu. (Hili nakubali asilimia mia). Hivyo ameonyesha wazi kuwa hatakuwa anamuingilia kiutendaji Mkuu wa Jeshi la Polisi. (Mimi ndio nimeelewa hivyo). Jambo ambalo linaonyesha mtangulizi wake alikuwa akimuingilia kiutendaji maana nimesikia kuwa alikuwa anaambiwa toa huyu weka huyu.

Lakini sheria inayosimamia shughuli za Polisi hapa nchini ( Police Force and Auxilliary Services Act) kifungu cha 7 (1)(2) kinaweka bayana kuwa IGP atafanya kazi kwa mujibu wa amri za Waziri . Kwa ufupi anaripoti kwa Waziri wa Mambo ya Ndani.

Sasa basi nauliza tu je huyu jamaa aliyeondolewa alikuwa anafanya makosa kumpa IGP orders?

Nahitaji msaada ili nieleweshwe.
'chawene alishang'atwa, hawezi kuwa waziri effective tena, anakwenda kukamilisha idadi tu
 
Aiseh hili sikuwahi kulifikiria kichwani mwangu ingawa several times huwa nawaza mbona Dr. Mwinyi anasurvive pale Ulinzi na usalama bila shida ingawa ndio pagumu?
Kwa maneno rahisi hawa waliotangulia walikosa hekima 'acknowledging the authority' walipokuwa wizarani.
Hapo ndio unapokuja kujua ukikaa kwenye kiti fulani waulize waliokutangulia na wakapita successively ndio usalama wako.
Kwa kauli hiyo ya simbachawene ameshatoboa na nadhani hatowafokea tena wale makamishna.
Wizara ya Mwinyi haina kashikashi kama Wizara ya ndani...Usalama ipo chini ya utumishi na utawala bora ...Mkuchika ndo waziri wao....
Wizara hizi 3 yani wizara ya ulinz na jesh la kujenga Taifa,utumishi na utawala bora pmj na mambo ya ndan zinafanya kaz kwa pmj...ila yenye kashikash zaid ni ya mambo ya ndani ...Ina jeshi la polisi,magerza ,zimamoto,na uhamiaji...
 
Aiseh hili sikuwahi kulifikiria kichwani mwangu ingawa several times huwa nawaza mbona Dr. Mwinyi anasurvive pale Ulinzi na usalama bila shida ingawa ndio pagumu?
Kwa maneno rahisi hawa waliotangulia walikosa hekima 'acknowledging the authority' walipokuwa wizarani.
Hapo ndio unapokuja kujua ukikaa kwenye kiti fulani waulize waliokutangulia na wakapita successively ndio usalama wako.
Kwa kauli hiyo ya simbachawene ameshatoboa na nadhani hatowafokea tena wale makamishna.
Bwana we achana na hizo porojo. Hii wizaa ya ndani ni majanga...yeyote atakayekaa hapo lazima achafuke. Na ndo maana hawamweki mwinyi hapo maana siku 2 tu utekaji utamchafua.
Hata wewe ukika hapo kwenye ulinzi utaonekana jembe sababu ile wizara haina makelele mengi na siasa haziingi hvyo kule.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inawezekana alikuwa anawaingilia ktk utendaji kazi wao wasikie hao
View attachment 1337653

Sent using Jamii Forums mobile app
eti katumbuliwa kazi na jeshi linaendelea!!!hahahahha walimwambia amekuja na ataondoka wao atawaacha. Yaani alianza kwa kikao kumdhalisha kamishna magereza na utumbuzi wake umefanyika katika kambi ya jeshi la magereza!! duuh what a coincidence??Jamani mlango unaoingilia ndio huo wa kutokea wamejisemea wahenga wa wasafi media!!!
 
Naomba niweke wazi hapa nahitaji kueleweshwa juu ya hili suala. Katika hotuba yake Waziri wa mambo ya ndani alidokeza juu ya utawala ndani ya wizara ya Mambo ya ndani, akadai hana nyota na wala yeye si Amiri jeshi mkuu. (Hili nakubali asilimia mia). Hivyo ameonyesha wazi kuwa hatakuwa anamuingilia kiutendaji Mkuu wa Jeshi la Polisi. (Mimi ndio nimeelewa hivyo). Jambo ambalo linaonyesha mtangulizi wake alikuwa akimuingilia kiutendaji maana nimesikia kuwa alikuwa anaambiwa toa huyu weka huyu.

Lakini sheria inayosimamia shughuli za Polisi hapa nchini ( Police Force and Auxilliary Services Act) kifungu cha 7 (1)(2) kinaweka bayana kuwa IGP atafanya kazi kwa mujibu wa amri za Waziri . Kwa ufupi anaripoti kwa Waziri wa Mambo ya Ndani.

Sasa basi nauliza tu je huyu jamaa aliyeondolewa alikuwa anafanya makosa kumpa IGP orders?

Nahitaji msaada ili nieleweshwe.
Huo ndio UCHONGANISHI!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kangi kageukwaw, sasa anaonekana alikuwa anamkwaza mwenye Serikal kwa kudhalilisha Makamanda hadharan kwa vitu vidogo

Aliwahi kumfukuza Kamishna Mkuu Magereza kwa kuchelewa dakika 5 kwny Mkutano

Kangi angepewa cheo cha Hayati Tambalizeni na Tambwe hiza
HIVI MADAKTARI, MAINJINIA NA WAHASIBU WANAOUMBULIWA HADHARANI KILA SIKU, KWA VIKOSA VIDOGO'VIDOGO VYA KUSHINDWA 'KUKARIRI' DATA, SIO WATU?
 
Back
Top Bottom