adrenaline
JF-Expert Member
- Jun 17, 2015
- 3,152
- 4,843
Sioni lolote jipya....Mtazamo wako!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sioni lolote jipya....Mtazamo wako!
Kila apitaye upita kwa njia yake wengine kutotii maagizo,kula bila kunawa kupelekea kufukuzwa mezani,nk.Mwinyi kadumu pale ndipo wizara nyepesi na isiyo na changamoto kuliko zote hata matamko na maagizo sio Sana pia ile inajitegemea na iko huru sio sawa na zingine kama roboti,ile wizara huwa ngumu pasipo na amaniAiseh hili sikuwahi kulifikiria kichwani mwangu ingawa several times huwa nawaza mbona Dr. Mwinyi anasurvive pale Ulinzi na usalama bila shida ingawa ndio pagumu?
Kwa maneno rahisi hawa waliotangulia walikosa hekima 'acknowledging the authority' walipokuwa wizarani.
Hapo ndio unapokuja kujua ukikaa kwenye kiti fulani waulize waliokutangulia na wakapita successively ndio usalama wako.
Kwa kauli hiyo ya simbachawene ameshatoboa na nadhani hatowafokea tena wale makamishna.
JWTZ na JKT ukipewa uwaziri kutongoza hivyo vyombo unakuwa hauna ishu za kuongea sana, kwanza wao hawana muingiliano sana na wananchi, sasa Waziri wa mambo ya ndani ni shida kubwa kwanza wananchi vs Polisi, DPP vs wenye makosa ya jidai, Magereza askari vs Wafungwa, Zimamoto vs Wananchi, maana yake Hiii wizara ya mambo ya ndani imejikita katika kutoa huduma kwa wananchi, tofauti na wizara ya ulinzi ambayo inalinda zaidi mipaka ya nchi na JKT kufanya miradi ya ujenzi.Aiseh hili sikuwahi kulifikiria kichwani mwangu ingawa several times huwa nawaza mbona Dr. Mwinyi anasurvive pale Ulinzi na usalama bila shida ingawa ndio pagumu?
Kwa maneno rahisi hawa waliotangulia walikosa hekima 'acknowledging the authority' walipokuwa wizarani.
Hapo ndio unapokuja kujua ukikaa kwenye kiti fulani waulize waliokutangulia na wakapita successively ndio usalama wako.
Kwa kauli hiyo ya simbachawene ameshatoboa na nadhani hatowafokea tena wale makamishna.
Hata mm nimeona Kuna mtego upo hapoOngera zake. Kajieleza vizuri. Ila hapo naona wanategana na mkuu wake wa kazi
Baada ya Waziri wa Mambo ya Ndani Mh. Simbachawene kutoa kauli hii ndipo Mh Rais Magufuli akampongeza kwa kulitambua hilo na kumuambia kuwa hata Waziri Mwinyi amedumu Wizara ya Ulinzi kwa sababu analielewa vizuri jambo hilo.
Rais Magufuli akasisitiza kuwa Wakuu wa vyombo vya ulinzi wanaripoti moja kwa moja kwa Rais ambaye ndiye Amiri Jeshi Mkuu.
Mh Simbachawene amesema yeye atajikita kwenye shughuli za kiutawala na kwa upande wa vyombo vya dola atakuwa anatoa ushauri kwa Mh Rais Magufuli pale inapobidi.
Maendeleo hayana vyama!
Kuwa wakuu wa vyombo vya usalama wanalipoti moja kwa moja kwa rais halina ubishi (Rais ni amiri jeshi mkuu) lakini kwenye majukumu ya kiwizara ikoje? Maana sheria inayosimamia jeshi la polisi Tanzania ( Police force and auxilliary services Act,Cap322) Kifungu cha 7(1)(2) kinatamka bayana kuwa IGP atafanya kazi kwa amri ya waziri wa mambo ya ndani. Hapo sasa nashindwa kuuelewa hii imekaa vipi?Baada ya Waziri wa Mambo ya Ndani Mh. Simbachawene kutoa kauli hii ndipo Mh Rais Magufuli akampongeza kwa kulitambua hilo na kumuambia kuwa hata Waziri Mwinyi amedumu Wizara ya Ulinzi kwa sababu analielewa vizuri jambo hilo.
Rais Magufuli akasisitiza kuwa Wakuu wa vyombo vya ulinzi wanaripoti moja kwa moja kwa Rais ambaye ndiye Amiri Jeshi Mkuu.
Mh Simbachawene amesema yeye atajikita kwenye shughuli za kiutawala na kwa upande wa vyombo vya dola atakuwa anatoa ushauri kwa Mh Rais Magufuli pale inapobidi.
Maendeleo hayana vyama!
Hivi waziri akimwagiza IGP atengue uteuzi wa RPC kwa sababu anazoona ni za msingi sio suala la kiutawala? Au utawala alioongelea Simbachawene ni upi?Baada ya Waziri wa Mambo ya Ndani Mh. Simbachawene kutoa kauli hii ndipo Mh Rais Magufuli akampongeza kwa kulitambua hilo na kumuambia kuwa hata Waziri Mwinyi amedumu Wizara ya Ulinzi kwa sababu analielewa vizuri jambo hilo.
Rais Magufuli akasisitiza kuwa Wakuu wa vyombo vya ulinzi wanaripoti moja kwa moja kwa Rais ambaye ndiye Amiri Jeshi Mkuu.
Mh Simbachawene amesema yeye atajikita kwenye shughuli za kiutawala na kwa upande wa vyombo vya dola atakuwa anatoa ushauri kwa Mh Rais Magufuli pale inapobidi.
Maendeleo hayana vyama!
Utawala=office politics....Hivi waziri akimwagiza IGP atengue uteuzi wa RPC kwa sababu anazoona ni za msingi sio suala la kiutawala? Au utawala alioongelea Simbachawene ni upi?
Sent using Jamii Forums mobile app
'chawene alishang'atwa, hawezi kuwa waziri effective tena, anakwenda kukamilisha idadi tuNaomba niweke wazi hapa nahitaji kueleweshwa juu ya hili suala. Katika hotuba yake Waziri wa mambo ya ndani alidokeza juu ya utawala ndani ya wizara ya Mambo ya ndani, akadai hana nyota na wala yeye si Amiri jeshi mkuu. (Hili nakubali asilimia mia). Hivyo ameonyesha wazi kuwa hatakuwa anamuingilia kiutendaji Mkuu wa Jeshi la Polisi. (Mimi ndio nimeelewa hivyo). Jambo ambalo linaonyesha mtangulizi wake alikuwa akimuingilia kiutendaji maana nimesikia kuwa alikuwa anaambiwa toa huyu weka huyu.
Lakini sheria inayosimamia shughuli za Polisi hapa nchini ( Police Force and Auxilliary Services Act) kifungu cha 7 (1)(2) kinaweka bayana kuwa IGP atafanya kazi kwa mujibu wa amri za Waziri . Kwa ufupi anaripoti kwa Waziri wa Mambo ya Ndani.
Sasa basi nauliza tu je huyu jamaa aliyeondolewa alikuwa anafanya makosa kumpa IGP orders?
Nahitaji msaada ili nieleweshwe.
Wizara ya Mwinyi haina kashikashi kama Wizara ya ndani...Usalama ipo chini ya utumishi na utawala bora ...Mkuchika ndo waziri wao....Aiseh hili sikuwahi kulifikiria kichwani mwangu ingawa several times huwa nawaza mbona Dr. Mwinyi anasurvive pale Ulinzi na usalama bila shida ingawa ndio pagumu?
Kwa maneno rahisi hawa waliotangulia walikosa hekima 'acknowledging the authority' walipokuwa wizarani.
Hapo ndio unapokuja kujua ukikaa kwenye kiti fulani waulize waliokutangulia na wakapita successively ndio usalama wako.
Kwa kauli hiyo ya simbachawene ameshatoboa na nadhani hatowafokea tena wale makamishna.
Bwana we achana na hizo porojo. Hii wizaa ya ndani ni majanga...yeyote atakayekaa hapo lazima achafuke. Na ndo maana hawamweki mwinyi hapo maana siku 2 tu utekaji utamchafua.Aiseh hili sikuwahi kulifikiria kichwani mwangu ingawa several times huwa nawaza mbona Dr. Mwinyi anasurvive pale Ulinzi na usalama bila shida ingawa ndio pagumu?
Kwa maneno rahisi hawa waliotangulia walikosa hekima 'acknowledging the authority' walipokuwa wizarani.
Hapo ndio unapokuja kujua ukikaa kwenye kiti fulani waulize waliokutangulia na wakapita successively ndio usalama wako.
Kwa kauli hiyo ya simbachawene ameshatoboa na nadhani hatowafokea tena wale makamishna.
eti katumbuliwa kazi na jeshi linaendelea!!!hahahahha walimwambia amekuja na ataondoka wao atawaacha. Yaani alianza kwa kikao kumdhalisha kamishna magereza na utumbuzi wake umefanyika katika kambi ya jeshi la magereza!! duuh what a coincidence??Jamani mlango unaoingilia ndio huo wa kutokea wamejisemea wahenga wa wasafi media!!!Inawezekana alikuwa anawaingilia ktk utendaji kazi wao wasikie hao
View attachment 1337653
Sent using Jamii Forums mobile app
Hulia Mwataaa!! ndani ya ilani ya chama, je ataendelea kuvinjari nayo? time will tellHongera kwa Mh Simbachawene, kaanza kwa nidhamu na kujitambua. Kagi alitimiza msemo wa wahenga ...maskini akipata matako .....
Sent using Jamii Forums mobile app
Huo ndio UCHONGANISHI!Naomba niweke wazi hapa nahitaji kueleweshwa juu ya hili suala. Katika hotuba yake Waziri wa mambo ya ndani alidokeza juu ya utawala ndani ya wizara ya Mambo ya ndani, akadai hana nyota na wala yeye si Amiri jeshi mkuu. (Hili nakubali asilimia mia). Hivyo ameonyesha wazi kuwa hatakuwa anamuingilia kiutendaji Mkuu wa Jeshi la Polisi. (Mimi ndio nimeelewa hivyo). Jambo ambalo linaonyesha mtangulizi wake alikuwa akimuingilia kiutendaji maana nimesikia kuwa alikuwa anaambiwa toa huyu weka huyu.
Lakini sheria inayosimamia shughuli za Polisi hapa nchini ( Police Force and Auxilliary Services Act) kifungu cha 7 (1)(2) kinaweka bayana kuwa IGP atafanya kazi kwa mujibu wa amri za Waziri . Kwa ufupi anaripoti kwa Waziri wa Mambo ya Ndani.
Sasa basi nauliza tu je huyu jamaa aliyeondolewa alikuwa anafanya makosa kumpa IGP orders?
Nahitaji msaada ili nieleweshwe.
Kivipi? Mkuu nahitaji wadau wanipe somo (nondo)
HIVI MADAKTARI, MAINJINIA NA WAHASIBU WANAOUMBULIWA HADHARANI KILA SIKU, KWA VIKOSA VIDOGO'VIDOGO VYA KUSHINDWA 'KUKARIRI' DATA, SIO WATU?Kangi kageukwaw, sasa anaonekana alikuwa anamkwaza mwenye Serikal kwa kudhalilisha Makamanda hadharan kwa vitu vidogo
Aliwahi kumfukuza Kamishna Mkuu Magereza kwa kuchelewa dakika 5 kwny Mkutano
Kangi angepewa cheo cha Hayati Tambalizeni na Tambwe hiza
Waziri hana uwezo wa kumtengua RPC.......hilo ni jukumu la IGP na Amiri Jeshi Mkuu!Hivi waziri akimwagiza IGP atengue uteuzi wa RPC kwa sababu anazoona ni za msingi sio suala la kiutawala? Au utawala alioongelea Simbachawene ni upi?
Sent using Jamii Forums mobile app