G.Man
JF-Expert Member
- Feb 9, 2014
- 1,040
- 2,157
Wakuu habari; Tukiwa tunaelekea mwishoni kabisa mwa mwaka huu wa 2016 naomba tukumbushane kauli za mastaa wa Bongo zilizo make headlines zaid kwa mwaka huu mzima, Binafsi naanza na hizi;
*1 KUKOJOZWA- Hii aliitoa Gadner akilenga kuelezea alichomfanya Komando Jide, nafkir hii ime trend zaid kuliko zingine mpaka saaa hivi na ilileta tafran mpaka baadhi ya wadau wakataka mamlaka za juu kuingilia kati
*2 KUZIMIWA MIC- Japo haikuwa direct, ila kwa kila aliyesikia alielewa alichokuwa amemaanisha King Kiba kuhusu tukio la mic kuzimwa akiwa jukwaani kule Mombasa, mengi yalisemwa sana , na mapovu yakawatoka watu kupita maelezo ila kwa sasa upepo umepungua
*3 KUPUMULIWA- Hili ni ingizo jipya kabisa kutoka kwa Diamond Platnumz akimlenga mtu ambaye wafukunyuku walifukunyua kuwa ni Ommy Dimpoz, speed ni kubwa na hatujui itaibua mapovu gan ya ziada
Naomba niishie hapo, kupisha wadau na michango yao.
NB: Hii ni celebrity forum,kwahy, masuala ya siasa na viwanda mkatafute jukwaa lake.Karibuni