Kauli za kipuuzi zinazotolewa na viongozi kukwepa uwajibikaji

Kauli za kipuuzi zinazotolewa na viongozi kukwepa uwajibikaji

1911

Member
Joined
Dec 31, 2023
Posts
23
Reaction score
33
1. Serikali imejitahidi sana ๐Ÿ˜ช๐Ÿ˜ช

2. Ungekuwa wewe ndio kiongozi ungefanya nini?๐Ÿ˜ฅ๐Ÿ˜ฅ

3. Sio kazi ya serikali kumletea mwananchi maendeleo binafsi, kazi ya serikali ni kutengeneza mazingira. ๐Ÿ˜•๐Ÿ˜•๐Ÿ˜•

4. Tanzania ndio nchi pekee yenye kiwango kidogo cha โ€”โ€”โ€”, mmeona nchi X, Y, Z?๐Ÿ˜ ๐Ÿ˜ 

5. Deni letu ni himilivu๐Ÿ˜ ๐Ÿ˜ 

6. Hakuna mtu atakayegongewa kulipa deni la taifa ๐Ÿ˜’๐Ÿ˜’

7. IMF na World Bank wamesema uchumi wetu unaenda vizuri๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ

8. Mlitaka kiongozi mkubwa wa nchi apande bajaji? ๐Ÿ˜•๐Ÿ˜•

9. Nyerere alisema tuitunze amani yetu ๐Ÿ˜ฌ๐Ÿ˜ฌ

10. Hata viongozi ni binadamu, wanakosea๐Ÿ˜’๐Ÿ˜’๐Ÿ˜’

11. Hakuna uhuru usiokuwa na mipaka๐Ÿ˜ฅ๐Ÿ˜ฅ

12. Hawa wametumwa na mabeberu ๐Ÿ˜•๐Ÿ˜•

13. Hakuna nchi isiyokopa๐Ÿ˜’๐Ÿ˜’

14. Viongozi wanafanya kazi ya Mungu, muwaombee๐Ÿ˜ ๐Ÿ˜ 

15. Tusifieni kwa mazuri tunayofanya๐Ÿ˜’๐Ÿ˜’

16. Sio sisi ni vita ya ukrein mara sijui russia๐Ÿ˜๐Ÿ˜

17. Upinzani wakishinda kutakuwa na vita.๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜Ž

18. Anaupiga mwingi ๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜Ž

19. Hamieni burundi ๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜Ž

20. Hata ukipiga kura kwingine CCM itatengeneza serikali huu ni upumbav mkubwa wenye kiburi na dharau zaidi kuwahi kusikia ๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜Ž

21.Rais katoa mabilioni ili barabara zijengwe katoa au nikodi zetu ๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜Ž

22.sio kazi ya serikali kutengeneza ajira ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ

Nachokaga mimi kwa makauli ya kiseng**e kama haya
 
Back
Top Bottom