1911
Member
- Dec 31, 2023
- 23
- 33
1. Serikali imejitahidi sana πͺπͺ
2. Ungekuwa wewe ndio kiongozi ungefanya nini?π₯π₯
3. Sio kazi ya serikali kumletea mwananchi maendeleo binafsi, kazi ya serikali ni kutengeneza mazingira. πππ
4. Tanzania ndio nchi pekee yenye kiwango kidogo cha βββ, mmeona nchi X, Y, Z?π π
5. Deni letu ni himilivuπ π
6. Hakuna mtu atakayegongewa kulipa deni la taifa ππ
7. IMF na World Bank wamesema uchumi wetu unaenda vizuriππ
8. Mlitaka kiongozi mkubwa wa nchi apande bajaji? ππ
9. Nyerere alisema tuitunze amani yetu π¬π¬
10. Hata viongozi ni binadamu, wanakoseaπππ
11. Hakuna uhuru usiokuwa na mipakaπ₯π₯
12. Hawa wametumwa na mabeberu ππ
13. Hakuna nchi isiyokopaππ
14. Viongozi wanafanya kazi ya Mungu, muwaombeeπ π
15. Tusifieni kwa mazuri tunayofanyaππ
16. Sio sisi ni vita ya ukrein mara sijui russiaππ
17. Upinzani wakishinda kutakuwa na vita.ππ
18. Anaupiga mwingi ππ
19. Hamieni burundi ππ
20. Hata ukipiga kura kwingine CCM itatengeneza serikali huu ni upumbav mkubwa wenye kiburi na dharau zaidi kuwahi kusikia ππ
21.Rais katoa mabilioni ili barabara zijengwe katoa au nikodi zetu ππ
22.sio kazi ya serikali kutengeneza ajira πππ
Nachokaga mimi kwa makauli ya kiseng**e kama haya