Da Vinci XV
JF-Expert Member
- Dec 7, 2019
- 3,862
- 6,438
- Thread starter
-
- #21
ππππMe: Mama haya maji nimwage?
Ma: hapana, leta niyanywe.
We love our momsMimi : mama niweke wapi haya maji
Mama: muwekaa baba yako kichwani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
I love you mama
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Me : mama yale mayai ya kuku Niyafunike
Mom: hapana yaache ntataga mengine baadae
πππnmechekaaMama njaa inauma
Mama: iwekee kijiko
DaaahππππMama niende hadi kanisani kwa mguu
Mama: Hapana, Nenda na matako
ππππMama niende hadi kanisani kwa mguu
Mama: Hapana, Nenda na matako
[emoji1787][emoji1787][emoji120]Kuna siku mempa jibu hajawahi kulisahau alipika mboga ambayo sijawahi kuila tokea nizaliwe ilikuwa mchunga ile mekuja kanipa msosi tonge la kwanza...
Mimi: khaaa! mama leo unataka kuniua umenipikia sumu
Mama: aliishia kucheka sana....
Ikawa kila mara ikisemwa hiyo mboga anaishia kunitania Mungu amrehemu sasa ni marehemu
ππππMama njaaa inauma
Mama: njoo unile
nimekumisi wewe mtu,,,upooooooMama sufuria iko wapi?....Iite sufuria itakuja yenyewe
Mama leo hujanipa hela ya shule,.... Nenda kwa shangazi yako ndio akupe
Am here babe shem, at your servicenimekumisi wewe mtu,,,upoooooo
π€£π€£π€£π€£Jana nimemsikia mama jirani anawaambia wanae"bora mimba zenu ningeziharibu tu watoto gani hamsikii"
much love shem wanguAm here babe shem, at your service
umemisika kipande hiiAm here babe shem, at your service