Kauli za mama zetu enzi zile...

Kauli za mama zetu enzi zile...

Kuna siku mempa jibu hajawahi kulisahau alipika mboga ambayo sijawahi kuila tokea nizaliwe ilikuwa mchunga ile mekuja kanipa msosi tonge la kwanza...

Mimi: khaaa! mama leo unataka kuniua umenipikia sumu

Mama: aliishia kucheka sana....

Ikawa kila mara ikisemwa hiyo mboga anaishia kunitania Mungu amrehemu sasa ni marehemu
[emoji1787][emoji1787][emoji120]
 
Back
Top Bottom