Kauli za mama zetu enzi zile...

Mama mbona mmeniachia chakula kidogo
Pumbavu ulitumwa ukacheze aya sasa ,meza na hilo sufuria
 
Umelala mpaka saivi, sawa somoni atakwenda baba ako
 
Mimi baada ya kutoka town nilikokuwa nasoma na kwenda hom kwa bi mkubwa, siku ya kwanza kwenda kisimani nilimuuliza, mama nichukuwe chombo gn kinachonitosha? Yeye akajibu fastaa tu, chukua pipa [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mi naenda kwenye vicoba sasa wewe lala tu jioni tunaenda kula serena hotel fisi wewe.
mi natoka hayo mahindi usiende kusaga nikija nitakaanga bisi.
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Mimi baada ya kutoka town nilikokuwa nasoma na kwenda hom kwa bi mkubwa, siku ya kwanza kwenda kisimani nilimuuliza, mama nichukuwe chombo gn kinachonitosha? Yeye akajibu fastaa tu, chukua pipa [emoji23][emoji23][emoji23]
 
walikuwa wanamanibu ya chapchap kama waliyapangilia kuyasema
 
Mimi baada ya kutoka town nilikokuwa nasoma na kwenda hom kwa bi mkubwa, siku ya kwanza kwenda kisimani nilimuuliza, mama nichukuwe chombo gn kinachonitosha? Yeye akajibu fastaa tu, chukua pipa [emoji23][emoji23][emoji23]
Daah, Mimi niliwahi kuambiwa kachote na mdomo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…