Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alikuwa mtu wa hovyoMkapa ndie chanzo cha hapa tulipofikia kama taifa, ile mentality yake ya ubinafsishaji ndio iliyozaa 10% huko serikalini.
Mkapa ndie chanzo cha hapa tulipofikia kama taifa, ile mentality yake ya ubinafsishaji ndio iliyozaa 10% huko serikalini.
Matokeo yake mpaka mikataba wanayoingia waliomfuatia ikiwemo ya madini wakaweka maslahi yao binafsi mbele, badala ya maslahi ya taifa, 10% ikaendelezwa.
Leo ndio tuko hapa, pamoja na rasilimali zote tulizonazo tumeshindwa kuzisimamia, akili yote tumeihamishia kwa wafadhili, misaada imekuwa nguzo mpama kwenye bajeti yetu ya ndani, ikikosekana kuna wizara zinapewa bajeti isiyotosheleza mahitaji.
Huu utegemezi unafanya taifa lizidi kuwa masikini, kila siku kelele za kupambana na umasikini lakini matokeo yake field ni sifuri, kumbe hii inasababishwa na udumavu wa akili za viongozi wetu wasioamini peke yetu hatuwezi kujitegemea.
Sorry, kwangu kubinafsisha kila kitu ulikuwa ni ujinga, na ndio waliutumia kama kichaka ili kila mmoja wao ajichotee chochote.Ubinafsishaji ulikuwa sahihi ila makosa ilikuwa na kubinafsisha viwanda kwa makada wa chama kama Mo na Abood.
Mkapa ndie chanzo cha hapa tulipofikia kama taifa, ile mentality yake ya ubinafsishaji ndio iliyozaa 10% huko serikalini.
Matokeo yake mpaka mikataba wanayoingia waliomfuatia ikiwemo ya madini wakaweka maslahi yao binafsi mbele, badala ya maslahi ya taifa, 10% ikaendelezwa.
Leo ndio tuko hapa, pamoja na rasilimali zote tulizonazo tumeshindwa kuzisimamia, akili yote tumeihamishia kwa wafadhili, misaada imekuwa nguzo mpama kwenye bajeti yetu ya ndani, ikikosekana kuna wizara zinapewa bajeti isiyotosheleza mahitaji.
Huu utegemezi unafanya taifa lizidi kuwa masikini, kila siku kelele za kupambana na umasikini lakini matokeo yake field ni sifuri, kumbe hii inasababishwa na udumavu wa akili za viongozi wetu wasioamini peke yetu hatuwezi kujitegemea.
Sorry, kwangu kubinafsisha kila kitu ulikuwa ni ujinga, na ndio waliutumia kama kichaka ili kila mmoja wao ajichotee chochote.
Toa mfano na alikopa wapi kama sio AfDB bank ya Africa na hakukuwa na masharti mengine ya ziada tofauti na Sasa.Magufuli alikuwa ni muongo, akiwa mbele ya watu anasema tuna pesa nyingi za kuendesha miradi yetu, akirudi nyuma ya pazia anakimbia mbio kwenda kukopa kiholela tena kwa riba kubwa.
Nakuelewa.Ukiona mzazi wako anajivunia pesa za jirani ujue kuna kitu jirani anakipata pia kutoka kwa huyo mzazi wako.
Huo mstari wa mwisho ni sahihi kweli auView attachment 2217730
Magufuli: Sisi ni matajiri, tunaweza kuwasaidia hata Ulaya, misaada/mikopo yao masharti magumu
Samia Suluhu: Nimeenda Ulaya, pesa za miradi zilikwama tumezikwamua.
Nipo nazitafuta za kaka Jakaya..
Ukutaka kula lazima uliweView attachment 2217730
Magufuli: Sisi ni matajiri, tunaweza kuwasaidia hata Ulaya, misaada/mikopo yao masharti magumu
Samia Suluhu: Nimeenda Ulaya, pesa za miradi zilikwama tumezikwamua.
Nipo nazitafuta za kaka Jakaya..
You nailed it !!!Mkapa ndie chanzo cha hapa tulipofikia kama taifa, ile mentality yake ya ubinafsishaji ndio iliyozaa 10% huko serikalini.