Kauli za mkuu wa nchi zinachangia na kuimaliza kabisa serikali ya CCM

Tunataka tuchague viongozi tuwapendao.inawezekana hata wao tunawapenda Sasa Kwann Wanacomplicate Wasiache Tuwe na Uhuru na Nchi Yetu.
Ubinfsi mkuu, na tamaaa za madarka
 
Kurjuan hiyo inaanza kumtafuna mdogo mdogo.
 
Tayari ndege zimepigwa ban
 
Amekosa utulivu, amepanick sasa anatumia hisia yaan kwa maana nyingine hatumii akili anatumia hisia!!
 
Madaraka ni matamu
 
Hawahi kuwa na huruma huyu msikilize wakati akiwa makamu mwenyekiti bunge la katiba ndio utajua ni kiumbe gani alijificha kwenye sura ya kufikirisha.

Chui ni mnyama anayevizia windo lake kwa kawaida huwa hakabiliani moja kwa moja hutumia viumbe wengine kujitokeza waonekane adui ndio wenyewe kumbe yeye anatafuta kona ya kukurukia kwa ghafla.
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…