Kauli za mkuu wa nchi zinachangia na kuimaliza kabisa serikali ya CCM

Kauli za mkuu wa nchi zinachangia na kuimaliza kabisa serikali ya CCM

Ukimkosoa rais, anakuchamba.
Rais anajibu kila kitu kiutani utani.
Kwa mfano hizi ni baadhi za kauli za rais mtaniongezea za kwenu hapo chini...
1. " Amekufa mtu mmoja tu watu wanalalamika, kifo ni kifo.."
2. "Mbunge wenu yeye ni kulalamika tu, badala asifu tumejenga barabara"
3. "Lazima tukope.."
Ongeza zako
Nilidhani Mimi tu ndiye naona hivyo kumbe tupo wengi yaani ni kama hakuna serikali vile hotuba tu ya raisi ni vichekesho tosha aibu naona Mimi🤣🤣🤣
 
Ukimkosoa rais, anakuchamba.
Rais anajibu kila kitu kiutani utani.
Kwa mfano hizi ni baadhi za kauli za rais mtaniongezea za kwenu hapo chini...
1. " Amekufa mtu mmoja tu watu wanalalamika, kifo ni kifo.."
2. "Mbunge wenu yeye ni kulalamika tu, badala asifu tumejenga barabara"
3. "Lazima tukope.."
Ongeza zako
Unategemea nini mpya kwa Lishangingingi...kama lille?
 
Back
Top Bottom