Kauli za mkuu wa nchi zinachangia na kuimaliza kabisa serikali ya CCM

Ukimkosoa rais, anakuchamba.
Rais anajibu kila kitu kiutani utani.
Kwa mfano hizi ni baadhi za kauli za rais mtaniongezea za kwenu hapo chini...
1. " Amekufa mtu mmoja tu watu wanalalamika, kifo ni kifo.."
2. "Mbunge wenu yeye ni kulalamika tu, badala asifu tumejenga barabara"
3. "Lazima tukope.."
Ongeza zako
OKTOBA TUNA βœ”οΈ
 
uoga wako ndio umaskini wako gentleman hakuna haja kulalamika πŸ’
 
Back
Top Bottom