Kauli za mkuu wa nchi zinachangia na kuimaliza kabisa serikali ya CCM

Ukimkosoa rais, anakuchamba.
Rais anajibu kila kitu kiutani utani.
Kwa mfano hizi ni baadhi za kauli za rais mtaniongezea za kwenu hapo chini...
1. " Amekufa mtu mmoja tu watu wanalalamika, kifo ni kifo.."
2. "Mbunge wenu yeye ni kulalamika tu, badala asifu tumejenga barabara"
3. "Lazima tukope.."
Ongeza zako
 
Huyu Mpina ananikosoa sana msimchague😛
 
Huyu Simba mkorofi sana.mwiteni Tundu Lisu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…