Kauli za ''Rais Mwanamke''na Ubaguzi wa kijinsia

Kauli za ''Rais Mwanamke''na Ubaguzi wa kijinsia

Yule mama hana mvuto wowote wa kisiasa kwa sasa, bahati mbaya hajui siasa, hana platform imara ya kusimamia siasa, hivyo njia nyepesi kwake kaona ni kukimbilia kwenye kichaka cha kijinsia, anasahau kuwa hicho ni kichaka cha nyasi kavu ndani ya msitu unaotunzwa na wanaume ambao wakiamua kukisambaratisha hutumia njiti moja tu ya kiberiti.

Ngoja waanze kumwachia moto ili akili zimkae.
 
Anaongea hivyo kwa sababu si kawaida Sana wanawake kufikia vyeo vya juu katika maamuzi
 
Kumpata mwana ccm mwenye akili timamu ni ngumu sana.


Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
 
Back
Top Bottom