mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Hizi ni ramli.
kwani huko ulaya na marekani walichukua siku ngapi na kuanza kufa?.
Hii ni wiki ya tatu.
JE UNA TAARIFA YA KIFO CHOCHOTE KILICHOSABABISHWA NA CORONA?
"baba unahonga hawara elfu kumi,
watoto wanakufa na njaa nyumbani"
kwani huko ulaya na marekani walichukua siku ngapi na kuanza kufa?.
Hii ni wiki ya tatu.
JE UNA TAARIFA YA KIFO CHOCHOTE KILICHOSABABISHWA NA CORONA?
Mkuu inaelkea wewe uliomea historia na kiswahili darasani, na hujui A toZ za sayaynsi.
Tumekuwa tukionya humu mtandaoni juu ya maambukizi ya huu ugonjwa na wengi wenu mmeamua kuwaamini wanansiasa.
Maambukizi kama ilivyo huko Ulaya hayaepukiki na dawa yake si sanitizer na kunawa maji ya kutiririka na sabuni tu.
Tunaposema total lockdown watu hamuelewi, ngoja watu waanze kuanguka kama nzi.
"baba unahonga hawara elfu kumi,
watoto wanakufa na njaa nyumbani"