Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
MKUU MUDA WA KUJIWEKA SAWA TU MDAWOWOTE MKUU OOH BILA MAOMBI MTAJAZA FORUM YA MISIBA HAPA MPAKA BASIUnaondoka mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MKUU MUDA WA KUJIWEKA SAWA TU MDAWOWOTE MKUU OOH BILA MAOMBI MTAJAZA FORUM YA MISIBA HAPA MPAKA BASIUnaondoka mkuu?
Mkuu huyo ni nyumbu! Hata angeongea tofauti angeloloma!!Ulitaka awasilishe kwa njia gani? Maana naona ...ueleweki watu wanapaswa kuambiwa ukweli..local transmission inaenda kuchukua nafasi ni jambo zuri / isipokuwa mapopoma wetu watz wanaogopa kifo sana.
Ulitaka adanganye?? Week mbili zijazo tutaju mbivu na mbichi. God bless TanzaniaTunajua na hakuna Mtanzania hasa mfuatiliaji wa Mambo asiyejua kuwa kiukweli COVID-19 ni hatari na ' inapukutisha ' Watu kweli kweli kuanzia Mataifa ya Kitajiri (Ulaya na Marekani) na hata katika baadhi ya nchi zetu za Afrika na kwa Majirani zetu wakubwa Kijiografia Kenya, Uganda na Rwanda.
Nimekuwa nikifuatilia hasa kwa baadhi ya nchi zenye Maambukizi na hata Vifo jinsi Mawaziri wao wa Afya wanavyokuwa ' Smart ' kama kutoa Taarifa kwa Wananchi Wao katika njia ya Kiumakini na iliyojaa zaidi Saikolojia ya Kimawasiliano kiasi kwamba haiwezi Kuwashtua.
Hakuna asiyejua (labda awe Mpumbavu tu) kuwa karibia 85% ya Wananchi wa hizi nchi zetu Masikini (za Kingumbaru) Tanzania ikiwemo upataji Wao wa Kipato unategemea mno Kutoka na Kutafuta katika sehemu mbalimbali hivyo ikitokea tu wakapewa Taarifa kwa Kitisho itawatesa zaidi Kisaikolojia.
Muda si mrefu Waziri wa Afya wa Tanzania Mheshimiwa Ummy Mwalimu ametoka Kutoa Kauli ambayo kwa tulio Mtaani sasa (katika Jamii) tunaanza Kuona jinsi Watu wakianza Kuchanganyikiwa na Kupata ' taharuki ' ukizingatia tayari harakati za Sikukuu ya Pasaka zimeshaanza kwa wengi.
Kauli yake Waziri ya kuwataka Watanzania wajiandae kwa Maambukizi Makubwa zaidi ya COVID-19 ndani ya Siku chache zijazo kutoka sasa mwenyewe akiyaita ' Community Transmission ' ilipaswa itolewe Kiumakini na ikiwezekana awahusishe Wataalam wa Mawasiliano na sivyo alivyofanya.
Tayari huku Mitaani naanza Kushuhudia Watu wakitishana kuwa sijui kuanzia Wiki ijayo Watanzania wengi hasa wana Dar es Salaam watakufa sana kwa CORONA. Kuna Watu nimewasikia wakisema kuwa wanataka Kulikimbia Jiji la Dar es Salaam ili Wasife na tufe Sisi tu Mapopoma wa Jiji hili.
Na asichokijua huyu Waziri wa Afya Ummy Mwalimu ni kwamba hii Kauli yake inaweza ikapelekea hata hali ya Maisha na ya Kibiashara (hasa kwa Bidhaa na Huduma) kuanza kuwa ngumu na Watu Kuteseka. Na kuna Uwezekano hata Uhalifu ukaongezeka na hali kuwa mbaya zaidi.
Kwa ' Udhaifu ' huu wa utoaji wake Taarifa na hasa hii ya leo kuwa Watanzania wajiandae kwa ' Dhahama ' kubwa ya CORONA na Mwenendo wake mzima katika Kukabiliana na hili Janga sasa ni rasmi huyu Mwamama na Dada yetu ' ajiuzuru ' tu upesi awapishe wenye uwezo zaidi yake.
Nimesikitika sana!
Nawasilisha.
Huu ndio ukweli halisi ambao wavuta bangi wa lumumba hawataki kuusikiaNakubaliana na wewe 100% kwamba leo Kenya wamepimwa watu watatu ambao wametoka Tanzania na wamekutwa na CORONA wote halafu juzi kuna watu wawili walitokea Tanga walikwenda Zanzibar wamepimwa huko ZNZ wamekutwa na huu ugonjwa.Sasa kwa hali kama hii unafikiri kwa jinsi gani huu ugonjwa ulivyoenea hapa Nchini bila ya sisi wenyewe kujitambua,na yote haya yanatikea kwa vile idadi ya wanaopimwa ni ndogo sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ili tuwe na uhakika bila shaka shaka au uvumi, wachache kati yetu humu JF tujitolee tuvuke mpaka kwenda Kenya. Tutakapopimwa tulete majibu hapa kama tayari tunasambaza Korona ama la.Na kwa jinsi hii ' Social Distancing ' isivyokuwa ' serious ' nchini Tanzania nina uhakika hii ' Community Transmission ' ya Waziri Ummy Mwalimu ikianza tu huenda ' Dhahama ' ikawa Kubwa kuliko ya hata kule Jimbo la Wuhan nchini China ambako Betrii ndiyo ilichomolewa na Wachina wenyewe kwa mara ya Kwanza.
Ulitaka aseme Gentamycine inatibu C19 ndio umuamini kuwa anajenga a Tahadhari kwa Wananchi???Tunajua na hakuna Mtanzania hasa mfuatiliaji wa Mambo asiyejua kuwa kiukweli COVID-19 ni hatari na ' inapukutisha ' Watu kweli kweli kuanzia Mataifa ya Kitajiri (Ulaya na Marekani) na hata katika baadhi ya nchi zetu za Afrika na kwa Majirani zetu wakubwa Kijiografia Kenya, Uganda na Rwanda.
Nimekuwa nikifuatilia hasa kwa baadhi ya nchi zenye Maambukizi na hata Vifo jinsi Mawaziri wao wa Afya wanavyokuwa ' Smart ' kama kutoa Taarifa kwa Wananchi Wao katika njia ya Kiumakini na iliyojaa zaidi Saikolojia ya Kimawasiliano kiasi kwamba haiwezi Kuwashtua.
Hakuna asiyejua (labda awe Mpumbavu tu) kuwa karibia 85% ya Wananchi wa hizi nchi zetu Masikini (za Kingumbaru) Tanzania ikiwemo upataji Wao wa Kipato unategemea mno Kutoka na Kutafuta katika sehemu mbalimbali hivyo ikitokea tu wakapewa Taarifa kwa Kitisho itawatesa zaidi Kisaikolojia.
Muda si mrefu Waziri wa Afya wa Tanzania Mheshimiwa Ummy Mwalimu ametoka Kutoa Kauli ambayo kwa tulio Mtaani sasa (katika Jamii) tunaanza Kuona jinsi Watu wakianza Kuchanganyikiwa na Kupata ' taharuki ' ukizingatia tayari harakati za Sikukuu ya Pasaka zimeshaanza kwa wengi.
Kauli yake Waziri ya kuwataka Watanzania wajiandae kwa Maambukizi Makubwa zaidi ya COVID-19 ndani ya Siku chache zijazo kutoka sasa mwenyewe akiyaita ' Community Transmission ' ilipaswa itolewe Kiumakini na ikiwezekana awahusishe Wataalam wa Mawasiliano na sivyo alivyofanya.
Tayari huku Mitaani naanza Kushuhudia Watu wakitishana kuwa sijui kuanzia Wiki ijayo Watanzania wengi hasa wana Dar es Salaam watakufa sana kwa CORONA. Kuna Watu nimewasikia wakisema kuwa wanataka Kulikimbia Jiji la Dar es Salaam ili Wasife na tufe Sisi tu Mapopoma wa Jiji hili.
Na asichokijua huyu Waziri wa Afya Ummy Mwalimu ni kwamba hii Kauli yake inaweza ikapelekea hata hali ya Maisha na ya Kibiashara (hasa kwa Bidhaa na Huduma) kuanza kuwa ngumu na Watu Kuteseka. Na kuna Uwezekano hata Uhalifu ukaongezeka na hali kuwa mbaya zaidi.
Kwa ' Udhaifu ' huu wa utoaji wake Taarifa na hasa hii ya leo kuwa Watanzania wajiandae kwa ' Dhahama ' kubwa ya CORONA na Mwenendo wake mzima katika Kukabiliana na hili Janga sasa ni rasmi huyu Mwamama na Dada yetu ' ajiuzuru ' tu upesi awapishe wenye uwezo zaidi yake.
Nimesikitika sana!
Nawasilisha.
Corona itadhibiti wingi wa watu duniani, Afrika, na Tanzania!
Kama watu 2000 wanakufa kwa siku, basi kwa wiki tunaweza kusafisha sana nchi!
Dunia inapaswa kuwa katika uwiano baina ya viumbe hai na maliasili!
Corona will do the trick! Watu milioni sitini wote mnataka kwenda wapi!? Vitoto vinazaliwa asubuhi, mchana na jioni! Rundo la watoto wanatotolewa kwa siku!
Tunalalamika maji hakuna, umeme mchache, misitu inakwisha, ardhi zinagombaniwa, chakula kinaisha, ajira zinaisha, wanyama wanakufa na kukimbia makazi, joto na msongamano!
Clearly, the earth has been outweighed and overpowered by the insanely growing population!
Kwa kweli tupungue tu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ummy alikuwa anaendekeza usanii na sasa usanii umefikia hatua ya kulipuka hivyo hana ujanja tena. Tulipiga kelele sana tukaambiwa na ma superstitious wa Jf kuwa walikuwa wanaugua vicorona vidogo vidogo kuanzia december mwaka jana hivyo Corona kwao siyo ishu.
Jidu La Mabambasi watu wanadhani wanaoshauri kinyume na serikali ni wasaliti ila wao wanaokubaliana na kila jambo la watawala ndiyo wazalendo!!
Kwa hili umemuonea waziri ummy mwalimu, waziri kasema ukweli mtupu, kitendo cha watu kutoka Tanzania Na kwenda kukutwa Na maambukizi Kenya inaonesha uhalisia Wa tatizo.
Mtamlaumu dada ummy bure tu jamani. Ingawa siwapendi ccm lakini dada ummy anajitahidi kwa kiasi chake sema mikono yake ni kama imefungwa. Anaambiwa cha Kusema ilihali mambo ni mabaya. Na yeye kama mwanamke mwenye huruma analiona hilo na ukimuangalia usoni waona kabisa linamsuta but afanyeje sasa!! Ndo amri ishatoka.
Kosa la kwanza ni kuruhusu mikusanyiko ya dini iendelee (hili lilikuwa ni kosa kubwa kutokea kwa nchi hii)
La pili pamoja na huko makansani kuwa na watu wenye maPHD lakini wameshindwa kuzitumia wao kama wao kuwaokoa waumini wao it means SADAKA aka pesa inakuwa na uzito kuliko uhai wa waumini.
Shoo yeye kaamua kunawa kama pilato na zile taratibu alizotoa juzi ingawa bado zitasaidia kwa % chache tu.
Wenzetu zenji kidogo wako serious nasikia kuna misikiti imefunga kabisa.
"USIMJARIBU BWANA MUNGU WAKO"
Sent using Jamii Forums mobile app
We kenge soma hii attachment alafu uache kutetea ujinga
...Wanafanya Kazi Bure......Bwana asipoulinda mji waulindao wanakesha