John Mwaisengela
Member
- May 6, 2024
- 77
- 103
take a bowTatizo sio kulipa kodi wala elimu juu ya ulipaji kodi mku....
Tatizo ni:-
Je kodi ninayo lipa inafika kweli hazina..??
Je kodi ninayo lipa wanachi nafaidika nayo kwa hudimia ninazo pata..??
Je kodi ninayo lipa haichepushwi ama kuibiwa..??
Je kodi ninayo lipa inanisaidia kwenye kupunguza mfumuko wa bei..??
Je kodi ninayo lipa wanangu wanajengewa vyoo mashuleni..??
Je kodi ninayo lipa mwananchi anapata huduma za afya stahiki..??
Je kodi ninayo lipa inaenda kujenga barabara na zikaisha..??
Je kodi ninayo lipa sio ile CAG hua anaitaja kwenye ubadhirifu na fedha zenye hati chafu..??
Je kodi ninayo lipa na kadhalika nakadhalika.....
Sabotage ipo ndani ya TRA wenyewe vijana wameajiriwa wanawaza kuiba tu.View attachment 2997243
View attachment 2997244
Nimekutana na hizi clip mbili naona msisitizo wa maswala ya kodi. Kweli nimeamini bila kodi nchi haiwezi sogea. Nadhani kuna umuhimu na tra wakaongeza nao elimu kuhamasisha ili tujue taratibu na aina za kodi tunazopaswa lipa. Nafahamu kuna kitengo cha elimu kwa mlipakodi wito wangu kiongeze kasi hasa wakati huu wa technology kwenye mitandao ya kijamii.
TRA TanzaniaSabotage ipo ndani ya TRA wenyewe vijana wameajiriwa wanawaza kuiba tu.
View attachment 2997243
View attachment 2997244
Nimekutana na hizi clip mbili naona msisitizo wa maswala ya kodi. Kweli nimeamini bila kodi nchi haiwezi sogea. Nadhani kuna umuhimu na tra wakaongeza nao elimu kuhamasisha ili tujue taratibu na aina za kodi tunazopaswa lipa.
Nafahamu kuna kitengo cha elimu kwa mlipakodi wito wangu kiongeze kasi hasa wakati huu wa technology kwenye mitandao ya kijamii.