Ukiacha Taarifa za Kuumwa kwa Mh. Magufuli ambapo tulidanganywa Mchana kweupee tena katika Nyumba ya Ibada, katika siku tukufu.
Unadhani jengine lipi ambalo Mh. Kassim Majaliwa alilidanganya Taifa?.
Za kwangu hizi:
Dodoma. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema ili kupunguza tatizo la usafiri jijini Dar es Salaam, Serikali itawashirikisha Chama cha Wamiliki wa Daladala (UWADAR) ili kuwa miongoni mwa watoa huduma katika mradi wa mabasi yaendayo haraka (Udart). Akizungumza bungeni leo Mei 10, Waziri Mkuu...
Siamini kwamba kauli ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kwamba Tanzania inaongoza Afrika kwa kusambaza umeme ameitoa yeye mwenyewe bila kuongozwa na washauri. Na kama ni washauri wake wamempa hizo taarifa potofu basi wanapaswa kuwajibishwa kwa kusababisha Waziri Mkuu kutoa kauli ya "uwongo" bila...
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, amesema yoyote atakaye waonea waandishi wa habari wakati wakitimiza majukumu yao watakiona, kwani serikali inawatambua na kuwathamini na isingependa kuona hata siku moja mwandishi anapata tatizo anapotimiza wajibu wake. === SERIKALI: HATUTAKUBALI KUONA MWANDISHI...
-Matokeo ya kamati ya Uchunguzi wa Moto Kariakoo sijayaelewa kabisa, lakini tuiachie mamlaka. Muda utatuambia.