Kauli zipi tamu hauwezi kuzisahau kwa jinsi zilivyokuletea shida/tatizo kubwa?

Kauli zipi tamu hauwezi kuzisahau kwa jinsi zilivyokuletea shida/tatizo kubwa?

mlinzi mlalafofofo

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2008
Posts
725
Reaction score
1,282
1. Kwani we huniamini? - sasa ww msikilize hlf ujimix kuamini uone kitakachotokea. Utaishia kutibu gono, uti, kaswende, malengelenge, pangusa vyote kwa pamoja.

2. Mi ndo mara yangu ya kwanza - atakushangaza kwa kubinuka styles zote na kulia vilio vyote vya kimahaba pamoja na kile cha "ntukanie mamamkwe"

3. Yani we ndo mtu wangu wa kwanza

4. Mwenzio nlivyo na aleji na hayo makitu, yani basi tu.
 
Niko tayari kufa kwaajili yako🤔🤔
 
Back
Top Bottom