Kauli zipi tamu hauwezi kuzisahau kwa jinsi zilivyokuletea shida/tatizo kubwa?

Baby usiwaulize majirani kitu chochote kuhusu mimi...

kumbe majirani wanajua ana mimba halafu mimi ananificha!

nimekuja kugundua baadae sana
 
Alikua anataka kukuweka kwenye kwenye raiti traki afu ubebeshwe majukumu..
 
Back
Top Bottom