Kauli zitakazotamba kesho baada ya mechi na Yanga CCL

Kauli zitakazotamba kesho baada ya mechi na Yanga CCL

KAGAMEE

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2013
Posts
4,457
Reaction score
5,454
1.Hawa Simba wamoto sana.This time kombe wapewe mapema.

2.Nilijua tu Mamelod hawezi kutolewa na UTO.

3.Huyu Kibu karogwa siyo bure.

4.Viongozi hawajali hisia za mashabiki. Tutachekwa mpaka lini?

Ongeza yako....
 
Naona MASHABIKI wa Simba phawana muda mchafu wa kujibizana tangu lile sakata la MASHABIKI wa uto kusafirishwa kwenda Kwà Madiba,Yanga shindeni mechi yenu kwà kuwa mmekwapua hela mahali fulani.Simba ni wakiwa wañamtegemea Allah na si Mwanadamamu tena
 
Mamelodi wanaweza kufa kwao na wakatolewa Washabiki wengi wamekua kama wale waumini wa Kibwetele wanaamini Mamelodi haiwezi kufungwa hata iwenje daah...
 
Ntibazonkiza, Kapombe, Tshabalala, Chama, na Manula wamechoka! Hivyo watuachie timu yetu. 😁

Hawa wachezaji wote wa simba ni mizigo! Ondoa wachezaji wote, halafu tusajili wengine! 😁

Yanga wamefuzu kwa kubahatisha! Ila uwezo hawana. 😁

Mangungu na Try Again watuachie timu yetu. 😁

Benchika na Matola hakuna makocha pale! Ilikuwaje wakamuacha Kibu mkandaji nje na kumuanzisha Jobe? Mgunda apewe timu haraka iwezekanavyo. 😁
 
1) Bora tungemchezesha Mkude kuliko Pacome,
2) Gamondi si lolote, Nabi alikuwa Professor wa kiukweli
3) Mwamnyeto hatufai, umakini zero
4) Bacca anabutua butua tu
 
Back
Top Bottom