Kauli zitakazotamba kesho baada ya mechi na Yanga CCL

Kauli zitakazotamba kesho baada ya mechi na Yanga CCL

1) Bora tungemchezesha Mkude kuliko Pacome,
2) Gamondi si lolote, Nabi alikuwa Professor wa kiukweli
3) Mwamnyeto hatufai, umakini zero
4) Bacca anabutua butua tu
Mkude ni namba 6! Ungesema Aucho badala ya Pacome. Halafu Bacca siyo beki ya kubutua butua kama Inonga. Kwa upande wa Mwamnyeto uko sahihi! Yule jamaa muda wowote anaweza kuchomesha.

Na kwa Garmondi, hachelewi kumchezesha mshambuliaji wake Guede! Na huyu kiumbe akiingia tu, timu inaanza kuelemewa. Maana siyo mkabaji mzuri! Na pia hana uwezo mkubwa wa kukimbia na mpira! Yeye ni mtu wa kusubiria tu mpira ili afunge.
 
Back
Top Bottom