Kupiga magoti ni unyenyekevu lakini kauli ya "sasa basi"sijui tumeonewa sana na kunyanyaswa sana ni kauli ya kukata tamaa na kusababisha ugomviWanaopiga magoti kuomba kura huwa hawaombi huruma? 'yeyote anaeomba kura anaomba huruma 'there are many ways to kill a rat'
Kipindi kile cha UKUTA mliogopa virungu na maji ya upupu..:
Nyie huwa ni maneno tu.
Vitendo sifuri kabisa.
Imeandikwa wapi?"SASA BASI" ndio kaulimbiu mpya ya CHADEMA kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2020
Tumeonewa sana, Tumenyanyaswa sana SASA BASI.
Ngoja tuone.... Inaonyesha dalili za kukata tamaa.
Maendeleo hayana vyama!
Looks like it doesn't make any sense. What are the strategies in place for achieving such a poorly-thought political slogan in our lifetime?"SASA BASI" ndio kaulimbiu mpya ya CHADEMA kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2020
Tumeonewa sana, Tumenyanyaswa sana SASA BASI.
Ngoja tuone.... Inaonyesha dalili za kukata tamaa.
Maendeleo hayana vyama!
Frank talk does break friendishipKupiga magoti ni unyenyekevu lakini kauli ya "sasa basi"sijui tumeonewa sana na kunyanyaswa sana ni kauli ya kukata tamaa na kusababisha ugomvi
Kauli mbiu ya kutafuta huruma ya wananchiπ
Hivi ndio kauli mbiu gani hiyo aibu tupu na wala hailengi kumsaidia mtanzania zaidi kumuongezea stress na chukiπ
Nimekuelewa bwashee!Mbona kaulimbiu ya KINYONGE sana? Bora hata ile ya ngangali.
Hahahaaaa....... Endelea kukariri!Duu! Johnthebaptist unajitahi!!!!!
Mpk aibu naona mimi
Na sisi Watanzania tunasema "SASA BASI na USHOGA NA USAGAJI". Tujikwamue na janga hili lililopo mbele yetu jamani, vinginevyo ni laana na vipigo kutoka kwa Mungu wetu aliye juu.
Hayo ya akina Babu Seya na Papii siyajui, mimi nazungumzia haya ya kauli mbiu hii na msimamo wa Lissu in that area. Basi!..ccm mngekuwa mnapinga ushoga msingemkaribisha Babu Seya na Papii Ikulu.
..wale walikutwa na hatia ya kulawiti watoto wa shule, nyinyi mmeona ni fahari kuwaalika ikulu.
"SASA BASI" ndio kaulimbiu mpya ya CHADEMA kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2020
Tumeonewa sana, Tumenyanyaswa sana SASA BASI.
Ngoja tuone.... Inaonyesha dalili za kukata tamaa.
Maendeleo hayana vyama!
Hayo ya akina Babu Seya na Papii siyajui, mimi nazungumzia haya ya kauli mbiu hii na msimamo wa Lissu in that area. Basi!
"SASA BASI" ndio kaulimbiu mpya ya CHADEMA kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2020
Tumeonewa sana, Tumenyanyaswa sana SASA BASI.
Ngoja tuone.... Inaonyesha dalili za kukata tamaa.
Maendeleo hayana vyama!
Kasome kauli mbiuInatosha nini bwashee?!
Sasa basi!Kasome kauli mbiu
Kumbe bwashee!Kwaiyo mnajiaminisha chadema itapita? Magu lazima akamilishe miaka yake 10 mpende mcpende jombaa. Kwaiyo ninyi subirini 2025 ndio muongee, kwanza mshapoteana.
Kumbe bwashee!