Uchaguzi 2020 Kaulimbiu mpya ya CHADEMA ni "Sasa Basi"

Uchaguzi 2020 Kaulimbiu mpya ya CHADEMA ni "Sasa Basi"

Wanaopiga magoti kuomba kura huwa hawaombi huruma? 'yeyote anaeomba kura anaomba huruma 'there are many ways to kill a rat'
Kupiga magoti ni unyenyekevu lakini kauli ya "sasa basi"sijui tumeonewa sana na kunyanyaswa sana ni kauli ya kukata tamaa na kusababisha ugomvi
 
"SASA BASI" ndio kaulimbiu mpya ya CHADEMA kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2020

Tumeonewa sana, Tumenyanyaswa sana SASA BASI.

Ngoja tuone.... Inaonyesha dalili za kukata tamaa.

Maendeleo hayana vyama!
Imeandikwa wapi?
 
"SASA BASI" ndio kaulimbiu mpya ya CHADEMA kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2020

Tumeonewa sana, Tumenyanyaswa sana SASA BASI.

Ngoja tuone.... Inaonyesha dalili za kukata tamaa.

Maendeleo hayana vyama!
Looks like it doesn't make any sense. What are the strategies in place for achieving such a poorly-thought political slogan in our lifetime?
 
Mm na ukoo wangu tunaona iko poa sana.Sijui wengine hasa kutoka Utopolo..!!?
Kauli mbiu ya kutafuta huruma ya wananchi😁

Hivi ndio kauli mbiu gani hiyo aibu tupu na wala hailengi kumsaidia mtanzania zaidi kumuongezea stress na chuki😕
 
Mutapata kura nyingi huko huko kwenye liukanda lenu la kibaguzi, huku usukumani na unyamwezini hamtupati ng'oo .,,

Cku mkiacha udini, utaifa na ukabila mtafika mnapotaka.

Mungu asaidie ccm iendelee ku2ongoza ata kama wana mapungufu yao.
 
Na sisi Watanzania tunasema "SASA BASI na USHOGA NA USAGAJI". Tujikwamue na janga hili lililopo mbele yetu jamani, vinginevyo ni laana na vipigo kutoka kwa Mungu wetu aliye juu.

..ccm mngekuwa mnapinga ushoga msingemkaribisha Babu Seya na Papii Ikulu.

..wale walikutwa na hatia ya kulawiti watoto wa shule, nyinyi mmeona ni fahari kuwaalika ikulu.
 
..ccm mngekuwa mnapinga ushoga msingemkaribisha Babu Seya na Papii Ikulu.

..wale walikutwa na hatia ya kulawiti watoto wa shule, nyinyi mmeona ni fahari kuwaalika ikulu.
Hayo ya akina Babu Seya na Papii siyajui, mimi nazungumzia haya ya kauli mbiu hii na msimamo wa Lissu in that area. Basi!
 
"SASA BASI" ndio kaulimbiu mpya ya CHADEMA kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2020

Tumeonewa sana, Tumenyanyaswa sana SASA BASI.

Ngoja tuone.... Inaonyesha dalili za kukata tamaa.

Maendeleo hayana vyama!

SASA BASI kuwa na Yohana Mbatizaji anayeimba mapambio, wakati Yohana Mbatazaji wa kweli alihubir kweli na alikatwa kichwa kwa sababu ya kukosoa mamlaka
 
Hayo ya akina Babu Seya na Papii siyajui, mimi nazungumzia haya ya kauli mbiu hii na msimamo wa Lissu in that area. Basi!

..habari ndiyo hiyo.

..ccm hamuwezi kusema mnapinga ushoga na ulawiti huku Mwenyekiti anajumuika na Babu Seya na Papii Ikulu.
 
Sasa basi kwa nchi yetu kuongozwa na watu wenye chuki binafsi kwa wale wanaotofautiana nao mawazo na itikadi huku wakiisigina katiba ya nchi.
 
"SASA BASI" ndio kaulimbiu mpya ya CHADEMA kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2020

Tumeonewa sana, Tumenyanyaswa sana SASA BASI.

Ngoja tuone.... Inaonyesha dalili za kukata tamaa.

Maendeleo hayana vyama!

Kwaiyo mnajiaminisha chadema itapita? Magu lazima akamilishe miaka yake 10 mpende mcpende jombaa. Kwaiyo ninyi subirini 2025 ndio muongee, kwanza mshapoteana.
 
Back
Top Bottom