Kupiga magoti ni unyenyekevu lakini kauli ya "sasa basi"sijui tumeonewa sana na kunyanyaswa sana ni kauli ya kukata tamaa na kusababisha ugomviWanaopiga magoti kuomba kura huwa hawaombi huruma? 'yeyote anaeomba kura anaomba huruma 'there are many ways to kill a rat'