Kaulimbiu ya Muslim university of Morogoro imekosewa

Motto: Read in the Name of Allah

Hii kaulimbiu haijakaa sawa, wajaribu kutafuta maneno sahihi ya kiingereza

View attachment 2397712
Waislam wanaamini kua katika ule msahafu wote unauona pale ulivyo mkubwa vile Aya ya kwanza kabisa kushuka ilisema Soma Kwa jina la Mungu (Allah) wako. Hii ndio amri ya kwanza pia aliyopewa Mtume wao Muhammad Peace be upon him.

Aya hii inapatikana katika surat Alaq ambayo ni sura ya 96 kwenye mpangilio wa msahafu. Ni Aya ya kwanza kabisa kwenye hiyo surat Alaq.

Aya hii Kwa kiarabu inasema
96.1 - Iqra' Bismi Rab'ika Ladhi Alaq (Soma Kwa ajili ya Muumba wako).
96.2 - Alaqal In-Saan Min Alaqin (Alieumba mwanadamu Kwa tone la damu).

Kwa hiyo wewe unaweza ukaona kama ni motto tu wa chuo lakini Kwa Waislam hii ndio aya ya kwanza kabisa kupewa Mtume wao Muhammad Peace be upon him so ina umuhimu mkubwa sana.
 
Mi dini ya kuabudu MAJINI SIIPENDI JAMANI.

Hayo Majini ni Malaika WALIO hasi MBINGUNI.
Waliungana na lusifer kwenye uhaini.

Wakatupwa Duniani wakawa Majini hayo Majini yanaabudiwa sana na hao watu.

Hupati vyo bila Majini.
Walio hasi× = walioasi
Jinsi unavyoandika haihitaji elimu kubwa kukutambua kuwa wewe ni kichwa boksi maana andiko lako lina makosa mengi ya kiuandishi kama mtoto wa chekechea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…