Championship
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,500
- 10,616
- Thread starter
- #41
Cha kushangaza malaika wa kiislamu wasiokuwa na hiari walimtahadharisha allah kwamba asiumbe binadamu.😂😂Malaika hawana hiyari
Majini yana hiyari kama binadamu
Malaika hawamuasi Muumba wao
Majini kwa kuwa wana hiyari wanaweza kuasi kama alivyoanza huyo lucifer aka ibilisi
Waislamu hawaabudu majini bali Mwenyezi Mungu
Baadhi ya majini nao huabudu Mwenyezi Mungu Mungu
Fundisho sahihi ni kwamba shetani alikuwa malaika (cherubim) na aliweza kupitisha ushawishi mpaka theluthi moja ya malaika wakaungana naye.
Wote kwa pamoja walipigwa na malaika Michael akiwa na malaika walio chini yake. Walifukuzwa mbinguni na kutupwa duniani. Ndio hao wengine wapo kifungoni na wengine wanazurula na kuwashawishi watu kufanya uovu. Wote hao ni waovu na hivyo hakuna malaika aliyefukuzwa mbinguni ambaye ni mwema. Wote wabaya.