Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,775
- 29,746
Hivi wakisema mtu amesoma Chuo labda cha IFM wanamaanisha huko chuoni aliendaga tu kusoma hata haandiki chochote? Broad concept ya kusoma kulikozungumziwa kwenye hii aya ni kujifunza (learning) na sio reading.Hapo aya inaongelea kusoma tu (reading)....wewe unaongelea kila kitu...Tumwamini yupi?
Bismi Rab'ika means jifunze yale yamfaayo Mungu. Ukijifunza jinsi ya kudhulumu, kula rushwa, kuzini, kuua, kuiba, etc hapo ni unajifunza Bismi Shaitwaan ambako aya hii imekataa. Yaani jifunze yaliyo mema, sio yaliyo mabaya.