Hivi wakisema mtu amesoma Chuo labda cha IFM wanamaanisha huko chuoni aliendaga tu kusoma hata haandiki chochote? Broad concept ya kusoma kulikozungumziwa kwenye hii aya ni kujifunza (learning) na sio reading.Hapo aya inaongelea kusoma tu (reading)....wewe unaongelea kila kitu...Tumwamini yupi?
Hukumu jambo ambalo una maarifa nalo siyo na wewe utake kuonekana umesema kitu mbele za watu, Kukaa kimya si ujinga ndugu bali Ni sehemu ya kujifunza.Motto: Read in the Name of Allah
Hii kaulimbiu haijakaa sawa, wajaribu kutafuta maneno sahihi ya kiingereza
View attachment 2397712
Acha unafiki weweNasikia wanachapwa viboko kama sekondari tu
Aya haiongelei kujifunza inaongelea kusoma.Hivi wakisema mtu amesoma Chuo labda cha IFM wanamaanisha huko chuoni aliendaga tu kusoma hata haandiki chochote? Broad concept ya kusoma kulikozungumziwa kwenye hii aya ni kujifunza (learning) na sio reading.
Bismi Rab'ika means jifunze yale yamfaayo Mungu. Ukijifunza jinsi ya kudhulumu, kula rushwa, kuzini, kuua, kuiba, etc hapo ni unajifunza Bismi Shaitwaan ambako aya hii imekataa. Yaani jifunze yaliyo mema, sio yaliyo mabaya.
ila yesu si ana upande wake au yesu ni wa waislamu na wakristo? angalia usije fika ukakuta huyo yesu mwenyewe ni bwana mdogo sanaDuniani hapa hakuna dini yoyote iliyosahihi na ndio maana Yesu Kristo alikuja kuleta wokovu. Dini ni jitihada za mwanadamu kumtafuta Mungu. Jitihada hizo zinakoma pale mtu anapompata Yesu Kristo maana anapata uzima wa milele na kujazwa Roho Mtakatifu ili aweze kuishi maisha ya kumpendeza Mungu.
"Studies" in the......Study instead
Acha ushambaAcha unafiki wewe
Unabisha ili ueleweshwe au unabisha ili ubishe tu?Aya haiongelei kujifunza inaongelea kusoma.
Unajua hadith behind iyo Aya kwanza?
We ndio huelewi!, hiyo ni aya kwenye quranWavaa kobaz walikatazwa elim dunya....hawajaelewa hata point ya mtoa mada ni hiko kiingereza...Badala ya kurekebisha kiingereza hapo, wao wamekuja direct na matusi kwa mtoa mada
Sasa kwanini Hiyo aya inatumika hapo chuoni kama motto? Maana haiendani sasaWe ndio huelewi!, hiyo ni aya kwenye quran