Kaunti ya Nairobi yafungia kanisa la freemason kwa kutoka na deni la mamilioni ya pesa

hao BBC mbona wanajitoa ufahamu. lini freemason wana kanisa wakati majumba yao yanajulikana ka loji?
Mbona huyu Mwamba Naitwa Antony Lavey alikuwa ana Church of Satan ina ikajulikana hivyo tuu
 
hao BBC mbona wanajitoa ufahamu. lini freemason wana kanisa wakati majumba yao yanajulikana ka loji?
Unajua maana ya neno kanisa ( church) lakini au umekariri tu


The word “church” is a translation of the Greek word ekklesia, which is defined as “an assembly” or “called-out ones.”

Kanisa kwa kiswahili ni "mkusanyiko"
Jengo la Kanisa maana yake ni "Jengo la kukusanyika"
 
Sasa itakuaje wale jamaa zetu wanaolipa kuunganishwa freemason?
Fremason wenyewe wanaishi kwa madeni kumbe😂😂😂
 
Kwa maana hiyo kusanyiko la waislam wakiswali nalo ni kanisa?
 
Serikali ya Kaunti ya Nairobi nchini Kenya imefunga jengo la Freemasons' Hall la Grand Lodge of East Africa lililoko katikati ya jiji kutokana na deni la kodi ya ardhi lililofikia Ksh. milioni 19 [Tsh milioni 396.6].​


​
Operesheni hiyo imeongozwa na Mjumbe wa Kamati ya Afya katika Baraza la Mawaziri wa Kaunti, Suzanne Silantoi, ikiwa ni sehemu ya kampeni ya kaunti dhidi ya wadaiwa wa kodi, aliyeongozana na maafisa wengine ambao walisema taratibu zote zilifuatwa kabla ya kufunga jengo hilo ikiwa ni pamoja na kutuma barua na kutoa ilani za madai na matangazo kwenye magazeti.
​

​
Silantoi ameongeza kuwa kaunti haitaishia kufunga majengo ya wadaiwa pekee, bali pia itazuia huduma kama maji na mifereji ya majitaka kwa wale wanaoshindwa kulipa.​

==================For English Audience===================​

The Nairobi County Revenue Department on Tuesday shut down the Grand Lodge of East Africa’s Freemasons’ Hall in the city center over alleged land rate default amounting to Sh19 million.

The enforcement operation, led by Health CEC Suzanne Silantoi, Chief Officer in the Office of the Governor Priscilla Mahinda and Chief Officer for Housing Lydia Mathia, is part of a wider county campaign targeting rate defaulters across the capital.
“This particular premises owes Nairobi County over Sh19 million in land rates arrears,” said Silantoi during the operation.

“We will not only be clamping properties belonging to defaulters, but we are also moving to disconnect services such as water and sewer lines where necessary.”

According to county officials, the Freemasons’ Hall was shut following due process, including the issuance of demand notices and public warnings.

“Before any clamping is done, we issue demand notices and publish the same in local dailies instructing landowners to settle outstanding rates,” Silantoi explained.

“Failure to comply gives us the legal mandate to clamp.” Chief Officer Lydia Mathia noted that while the enforcement may inconvenience tenants, the law permits the county to disconnect services for non-compliant property owners. Disconnection of such services is within the law,” she said.

“If you can’t pay land rates, how do you expect to benefit from county services? It is unfortunate that tenants may suffer due to their landlords’ negligence.”

County records paint a grim picture: of the approximately 256,000 registered land parcels in Nairobi, only 50,000 are currently up to date with their land rates—representing a compliance rate of just 20 percent.

The county government has long struggled with financial strain brought on by a ballooning wage bill, stalled infrastructure projects, and service delivery gaps.

Officials say improved land rate compliance is crucial to reversing the county’s worsening fiscal health.

SOURCE: THE STAR
 
nimecheka sana aise!
 
Jumba la ibada la Freemasons Nairobi Kenya limefungwa na kupokonywa kutokana madeni ya Muda mrefu million 19 za Kenya.

Mamlaka za mapato Nairobi waliamua kuchukua hatua hiyo baada ya madeni kuzidi.

Mimi nadhani freemason wanakuwaga na hela ndefu kumbe choka mbaya Tu.

Soma zaidi Kwa muhtasari kiingereza ukurasa wa pili #2

Nyau de adriz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…